Linakata kwa CHUKI afu LIMEFUMBA MACHO; na hiyo inasema sana.Hapa mkuu Kipanya umelonga. Mara nyingi watu hawajui dhamani ya kitu ila mpaka pale kinapoadimika/kukosekana ndio tunaanza kujua. Zanzibar na viongozi wao ipo siku watajuta katika hili!!!!
Watapasuka makalio