Kipanya leo!!

Waacheni, hawajui walifanyalo, lakini mwisho wa siku wataisoma tu.
 
Sio bure,mtu mwenye busara hawezi kukata tawi la mti alokalia lazima kuna msukumo toka nje.Uwezo wa kupambanua mambo umefikia ukomo hivyo tusubiri matokeo ya maamuzi ya kukurupuka.
 
Hii inanikubusha hadithi za Abunuasi. Nafikiri akisha ngaka atarudi tena kuuliza Tanganyika lini Pemba na Unguja watatengani! Kila kheri tawi karibu linakatika.
 
Msiwatishe wanajua walitakalo na hawajakurupuka kudai nchi yao sioni kosa kero zipo nyingi viongozi hawazitatui watu wamechoka kwanza itakua msaada kwetu tumekaa kimya tukiwaonea huruma kuwatenga japo wanatupatia kero sasa kwakuwa wameamua wenyewe nawatakia mema kwenye kijinchi chao nashukuru mungu tanganyika iko njiani kutua mzigo
 
Hii picha inaakisi kabisa fikra zangu. Kimsingi wazenji wako salama kwa sababu tupo nao, tukijitenga kama wachache wao wanavyotaka, wataanza kutengana wao kwa wao kati ya wale wenye udini na wale waliberali. Msingi wa hoja za UAMSHO ni kwamba sisi bara tunawazuia kupata misaada toka nchi za kiislamu wakati wao ni waislamu kwa nini wasisaidiwe na waislamu wenzao???(OIC).Vile vile huku bara kuna mambo ya kikafir kama MASHINDANO YA UREMBO (UMISS) kama tupo nao kwenye muungano wataonekana wameridhia mambo hayo ya kikafiri. Na hoja nyingizezo nyingi zisizokuwa na mashiko. Kazi kwao sisi yetu macho.
 
Yaani hilo tawi likikatika sipati picha bora ugongwe na bajaj kuliko maumivu ya kudondoka na hilo tawi
 
Hapa mkuu Kipanya umelonga. Mara nyingi watu hawajui dhamani ya kitu ila mpaka pale kinapoadimika/kukosekana ndio tunaanza kujua. Zanzibar na viongozi wao ipo siku watajuta katika hili!!!!
 
Nimetafakari kwa kina hiyo picha nimepata maono mengi mno juu ya wenzetu waZNZ. Ukweli ni kwamba hilo tawi wanalolilia kulikata siku likikatika kweli watalijutia milele. Somalia na Afganistani patakuwa afadhali kuliko hali yao. Hii mijitu ni mishari na mimbumbumbu isiyoweza hata kukwambia "kati ya usiku na mchana ni wakati upi kuna giza!" Well done Kipanya!
 
Kataa!!! Kataaaaa! Kataa !!! Kiuno chako mwenyeweee!!!! Kataaaaa!!! Acha wacheze ngoma yao hao Wazenji!!!
 
Hapa mkuu Kipanya umelonga. Mara nyingi watu hawajui dhamani ya kitu ila mpaka pale kinapoadimika/kukosekana ndio tunaanza kujua. Zanzibar na viongozi wao ipo siku watajuta katika hili!!!!
Linakata kwa CHUKI afu LIMEFUMBA MACHO; na hiyo inasema sana.

Mkiaa wa mbuzi huonekana hauna maana maana haufiniki kitu. Siku ukikatika ndiyo watakumbuka faida yake. Waache wacheze na dunia. Wajinga sana watu hawa.
 
Kama kweli suala ni muungano kwanini wanachoma makanisa moto, kweli wanatafuta balaa
 
Kakosea kidogo, angemchora kajifunga msuli, hahahaaaaaa na kando kuna beseni la urojo, mmmh hawa ndugu zangu sijui akili zao ziko wapi
 
Problem ni kwamba Nyerere aliwahusia chama chake wasiache Zanzibar ijitenge, shida inaanzia hapo.

Kweli zidumu fikra za mwenyekiti!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom