THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,066
- 4,775
Very simpo Sisonje kala mizoga yote sasa kiki kushinehi anawaza atoke vipi /next kiki ni kufukua makaburi tuKiukweli huwa naelewa sana kazi yake but leo nimefail kuelewa nini alikuwa anamaanisha.....
View attachment 473646
WisePia kuna(inverted cross) msalaba uko juu chini,ukiashiria hilo kaburi sio la mtu wa kawaida,yan kigogo flani hivi amaizing!
Mi naona Tai juu ya msalaba na kwa mbali sijui ni bundi yule...
Hujambo Dada?Anangoja kufukuliwa makaburi ale mizoga.
Atakua anamaanisha kua sakata la hivi karibuni la madawa ya kulevya linaweza gusa hadi ''wateule'' waliopitatai mwnye njaa na aliyedhoofu anatamani kfukua mizoga iliyoko makaburini
Halafu amekondaa!!!sijui njaa.Tai anawaza kufukua makaburi akiwa hana furaha na amani moyoni mwake!
Anaweza fanya hivyo, ikiwa mizoga yote imekwisha.Tai hana tabia ya kufukua makaburi, huyo atakua bundi alie konda
Nimekukubali Bi. FaizaAnangoja kufukuliwa makaburi ale mizoga.
Kumfananisha mtu flani na tai mwenye sifa ya kuona mbali sio sawa.Oooooh..... Nahisi kuna uelekeo huo but huyu Tai ni nani kwa maono yako!?