Kipanya leo anasemaje?

Kipanya leo anasemaje?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,113
Reaction score
34,953
kp07122012.jpg


Shillingi ya Jumuia Ya Afrika Mashariki Je inaweza kututowa Kwenye Umasikini? Au ni ndio ndoto za Alinacha? Wakubwa ndio watakaofaidi na Jumuia hiyo Ya Afrika Mashariki?
 
aiseeeeeeeee babaangu tz ndio ya ukweli 2napesa aina 2 eg buku teni ikichanika moja ya pili inadai
 
MziziMkavu nimnekuwa ninaitafkari khoja hii ya sarafu kwa muda mrefu na nikabaini y akuwa jibu ni US DOLLAr................................the Zimbabwe way..................
 
Last edited by a moderator:
Kuungana kiuchumi na sarafu moja kwa sasa....sidhani kama itawezekana ,inahitaji ku balance sana uwiano wa uchumi na ukuaji wake kila nchi na rasilimali zake,then uwepo ukokotoaji na jinsi kila nchi itavyofaidika na jinsi kuendesha huo uchumi kwa pamoja la sivyo ni vurugu tupu!!
 
Back
Top Bottom