Kipanya: kweli hiki ni chama kilichoduma!

Kuna kingine kizuri kakufanyia vizuri ndio maana misuri inakukakamaa watu wanapokupinga? Usikute kaku-Zantel "twanga kotekote" (make unavyomsifia sio bure!)

asalaaale! Mambo ya kutwanga yanapatika huku.ngoja nifunge breki!
 
Huyo anayetoa speech ana PhD (Poor Hair Distribution) atakuwa nani sijui!!
 
Ni kawaida kwenye msafara wa mamba na kenge ni sehemu ya wageni waalikwa, naamini kipanya ni mfano wa wapiganaji wa kibongo na kama wote tungekuwa japo kwa 50% yake, mengi ya mambo yetu yangesonga mbele na tungeacha kulalamika tufanyavyo sasa.
 
kule arusha wamefikia wapi ? Hilo suali wanatakiwa walijibu, na baada ya tarime wapi wajiandae na mauaji?

kule arusha wameshazika, na hapa tarime ndo wanaanua tanga, mnaenda kufanya tena mauaji wapi ili wakazike???? Hili swali jibu mnalo nyinyi.
 

Serikali kazi yao ni nini??? kama CDM inachochea vurugu serikali ndio iue raia badala ya kuwaadhibu wachochezi? uliwahi kusikia raia kwa raia wakipigana sababu ya CDM? au ni serikali ndo inaua raia wake kutetea madhambi yake yasiwekwe hadharani??? hebu fikiri kidogo tu kabla ya kuandika.
Arusha aliyeua raia ni nani si polisi? na Tarime? sasa mleta fujo ni nani?
 
Kwahiyo nyinyi magamba mlitaka muuwe watu halafu tukae kumya sio, hiyo kitu haipo tena, isitoshe msiba ni kama tukio lingine lolote la kimaisha, ku take advantage kugain popularity kuna tatizo gani, chadema is right.
 
Kabla ya kufika Tarime tuanzie Pemba, kisha tusimame Arusha ndipo tufike Tarime. Tukitoka Tarime tujiandae lijalo litakuwa wapi? Unguja haliwezekani tena. labda litakuwa Dar. na kwa vile Dar kuna watu wengi sana, basi huenda idadi ya watakaozikwa watakuwa wengi zaidi. Muuaji ni yuleyule, wauliwa ni walewale, wacheza shere nao na walewale. Zidumu 'Fikra' za Watawala wetu!
 
acha waje na matusi yao.....watatukana hadi watachoka lkn penye ukweli sitokaa kimya. Si uongo maana Chadema wanatumia majanga ili kupata sympathy toka kwa wananchi, hili halina uongo. Kama kuna mtu anaona huu si ukweli, basi aseme huo ukweli wake

Nani anasababisha majanga hayo? kwani wale polisi waliouwa ni wa chadema? kweli common sense is not common.
 
acha waje na matusi yao.....watatukana hadi watachoka lkn penye ukweli sitokaa kimya. Si uongo maana Chadema wanatumia majanga ili kupata sympathy toka kwa wananchi, hili halina uongo. Kama kuna mtu anaona huu si ukweli, basi aseme huo ukweli wake
are u sure dat wat u say z true?dnt judge coz da judgement that u set 4 s1 z the one which will be set 4 u....tuache kubishania cdm au ccm,hivyo vyama havta2peleka popote....zaid ya ku-creat chuki na uhasama btn ppo..:majani7:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…