Sehemu kubwa ya kaburi na mchanga vinawakilishwa na rangi ya wazee wa no reforms no election ivyo ni chadema.
Shati la 🌲ni chama kilichoshika hatamu.
Mtu aliyedumbukia kaburini ni afisa mipango wa chama kinachowakilishwa na ilo shati ambapo kwa mtego walioutega walitegemea kukiua chama kinachowakilishwa na rangi ya hiyo ardhi na kukizika humo, kwa bahati mbaya matarajio yamekua ni magumu na kaburi linajaa maji ikiwa ni ishara ya marehemu aliyetarajiwa kufa mpk sasa yupo hai.
Kutumbukia kwa mtu na kutoa maji kaburini inaweza kuwa ni ishara mpya ya kujaribu kutengeneza matatizo na misuguano mipya ndani ya chama ili kukitetelesha na kukiua na hatimaye kaburi lipate marehemu wa kuzikwa umo .
Wingi wa maji kwenye kaburi ukilinganisha na yaliyofanikiwa kutolewa ni ishara ya uimara wa chama mpinzani unaopelekea mtoa maji kucheka kwa kuona kazi iyo ni ngumu na inaweza ikamchosha anayeyatoa maji kaburini.