Kipanya katika ubora wake: JPM akifukua makaburi

Kipanya katika ubora wake: JPM akifukua makaburi

Cicadulina

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
1,012
Reaction score
2,451
19388370_10155458037749339_3480405679218980677_o.jpg
 
Mbona vazi alilovaa sio kwa kazi hiyo?

Au ndio kwamba hajajipanga?
 
Inahitaji uimara wa mawazo kumkubali ki-rat!!
 
Akichimbua Makaburi akumbuke kuyafukia asituachie Machimo ya kututegua Miguu

Hicho anachokifukua akifanyie kazi sio kuacha Tena mabaki ya alichokifukua bila ya kufanyia kazi!
 
Mbona vazi alilovaa sio kwa kazi hiyo?Au ndio kwamba hajajipanga?
Hataki kujichafua au kuchafuliwa. Hataki ahusishwe kwa namna yoyote ile. Makaburi yenyewe magumu mpaka miwani imechomoka.
 
Back
Top Bottom