Kipanya katika tafakari nzito

Malaika Mkuu

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
902
909
1458028849757.jpg
 
Kwa kazi ubook keeper chàdema Ina mlima wakupanda!!ndo uzuri was kuwa creative artist tofauti na wale bongo movie na wanaoimbia ccm,zao. Lako la usanii lina fungua maana zaidi ya bilioni
 
Kipanya hali ya kisiasa ni kama mvua za masika hubadilika wakati wowote. Usiudanganye umma kwamba upinzani ndio umekufa jaribu kuwa makini. KUMBUKA HAPA DUNIANI HAKUNA MBABE WA WAKATI WOTE. (Jifunze hii Kanuni "The Law of Negation of Negation or Nothing is Permanently all the Time!")
 
Ndio maana wako kimya sana wakijaribu kutafakari jinsi ya kubadilisha gear za kuupanda huu mlima. CDM wameshaonyesha kuwa hilo litafanyikaje kwa kuleta KM aliyesheheni sifa zote!
 
Siamini wala sikubaliani na kipanya, huyu magufuli atakuja kuboronga zaidi ya sasa, ni mpenda sifa tu na show off, Maisha yamebadilika kwenye media tu Lakini sio mtaani,
Vijana wakaa vijiweni bado wanaongezeka Kila siku, watu sasa wanaishi kwa matumaini hewa,
Baada ya mwaka mmoja huo mlima itakuwa slop
 
Daaaa...n sahihi kabisa... naona kama wananchi wanaipotezea UKAWA coz JPM anafanya kazi vizuri sana
Unasahau libya walipewa kila kitu lakini walimuondoa Gadafi.
Unasahau waislaeli walikuwa hawakosi kitu kabla ya wafalme lkn walikataa uongozi wa mungu na kutka mfalme sawa na mataifa mengine.
Unasahau mwanamke waweza kumpa kila kitu ndani nbado akatoka nje kutafuta vya ovyo ovyo.

haw ndio wanadamu mawazo yao bado yapo pale pale na wanaendele kuzikumbuka zile ahadi walizonazo moyoni kwa matarajio ya mtu furani mpaka wakati wake upite ndio unaweza kuchukua mawazo ya masoud kipanya.
 
Back
Top Bottom