Masoud hachori katuni nyepesi hivi kufumbua hata mtoto...Mkono wa kipanya lazima utulie utafakari Katuni zake zinatumia Ubongo ule wa ndani kbsaaaaaa..
na sio hiyo ya kama kumsukuma mlevi tu...Huyo katumia sign ya masoud ila kazi sio ya kipanya masoud.
Naona hii habari iliyomo kwenye hii picha imekugusa sana hadi unaisingizia cdm.Chadema kwa kufoji hadi vikatuni.. Yaani policies zimewaishia kabisa now you are practicing dirty politics..!
Hadi vikatuni mna forge? Haa kwisha habari yenu
Sbb uelewa wako wa IT mdogo sana, IP address + location + handset anayotumia IMEI + chip all make easier and accurate way to know each and everyone kokote uliko duniani.. Hata uwe na majina bandia milioni au bilions, few mins unajulikana, hata ubadili lines milioni kwa majina tofauti, unajulikana kwa usahihi kabisa.. Kumbe unajidanganya hujulikani?
Futa hayo mawazo local and outdated kabisa.
Hicho kwako wewe ndiyo unaona ni uhuru wa vyombo vya habari? Kwani kuna jambo limesemwa hapo la kuwaudhi walioko madarakani?
Kwa hiyo lichama lenu na LAIS wenu kuwa ikulu ndo tiketi ya kuwakamua wanyonge na kuwafanya waendelee kuwa wanyonge; si Ndiyo?Utaendelea kuwa mpiga deki hivyo hadi unakufa lichama lako halijaenda ikulu
Masoud ni yeye kweli? Naona kama si uchoraji wake!?
Anatafutwa Masoud hapa ila siyo yy signature hii iko cropedSoma signature yake mkuu..
Huyu Mhaya hovyo kabisa!Hicho kwako wewe ndiyo unaona ni uhuru wa vyombo vya habari? Kwani kuna jambo limesemwa hapo la kuwaudhi walioko madarakani?
wewe jihaya la wapi mbona unakuwa takataka kla uchao. Kuna ujumbe gani wa maana ambao unaweza kuikwaza serikali. jinga sana weweHalafu mnasema kweli nchi hakuna uhuru wa vyombo vya habari
Signature wajanja wana copy na ku paste tu. Hii sio flavour ya Catoonist Kipanya. Signature ya sanaa inaanzia kwenye mchoro, labda kama leo kaamua kuadilika.Soma signature yake mkuu..
Ninachokipata inakipora kwa njia ya kodi zisizo sahihi ndio maana malalamiko ni mengi.Fanyeni kazi kwa bidii,kuilalamikia serikali kwa maisha magumu ni kujichelewesha,serikali haikupi pesa mkononi