Kipanya kanichanganya

Inaonyesha ni jinsi gani vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na bugirichato AKA Serikali tangu 2015 vinavyofanya maisha kuzidi kuwa magumu hadi kutishia maisha ya wanyonge.

Eti LAIS wa wanyonge! 😳😳😳
 
Muulize huyo jamaa maana sioni kama kuna mtu kawa attacked
Hicho kwako wewe ndiyo unaona ni uhuru wa vyombo vya habari? Kwani kuna jambo limesemwa hapo la kuwaudhi walioko madarakani?
 
Reactions: BAK
Duuu alafu wanaupenfa sana huo wimbo wa wanyonge[emoji450]
Inaonyesha ni jinsi gani vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na bugirichato AKA Serikali tangu 2015 vinavyofanya maisha kuzidi kuwa magumu hadi kutishia maisha ya wanyonge.

Eti LAIS wa wanyonge! [emoji15][emoji15][emoji15]
 
Utaendelea kuwa mpiga deki hivyo hadi unakufa lichama lako halijaenda ikulu
 
Maisha ni magumu sana mtaani asikwambie mtu.
Wanyonge tunakula kitanzi cha kufa mtu.

MaCCM mtaani yanaumia sawa tu na sisi tuliokataa hili lichama la watekaji.
Achana na hawa wanaolipwa mitandaoni, hali ni mbaya sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…