Kipanya hapa anamaanisha nini?

Kipanya hapa anamaanisha nini?

Ujumbe ni kwamba siyo kila tatizo linahitaji kutumia nguvu, tatizo unaloweza kuliona ni ndogo linaweza kukushinda na kukutia adabu ukitaka kutumia ubabe.
It means Democrats wametumia ubabe mwingi kum-impeach Trump twice, mpaka wanaahonga makada wakubwa kama Mitch, wanafadhili BLM, wanaanzisha scandal ya Kovidi na mabourgeoisie wa Uchina, wanafadhili rioters wa Capitol Hill, ili tu kumwondoa Trump, lakini njema haiendi kokote.

^We will be back in some form^ ~ Donald Trump
 
Ujumbe ni kwamba siyo kila tatizo linahitaji kutumia nguvu, tatizo unaloweza kuliona ni ndogo linaweza kukushinda na kukutia adabu ukitaka kutumia ubabe.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom