EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,716
Wajuvi njooni
Lukuvi akiwa coco beach!Wajuvi njooniView attachment 1704316
Wajuvi njooniView attachment 1704316
Mkulima anarudishwa nyuma na mbwaa koko.Wajuvi njooniView attachment 1704316
Mungu asimame MwenyeweBulldozer mambo yamemgeuka, alikuwa anadharau corona kwamba ni kajitu kadogo, sasa kanamwendesha,mambo yamekuwa magumu.
Sa kamee kanadhindwaje kuvutwa na "fagasoni"We humuoni kagoma kwenda huyo huelewi nino hapo
Duh!! Kumbe ujumbe unahusu koroma, so anaivutia nje ya mipaka inagoma au??Bulldozer mambo yamemgeuka, alikuwa anadharau corona kwamba ni kajitu kadogo, sasa kanamwendesha,mambo yamekuwa magumu.
[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]Kuna kimtu kidogo sana kimeingia madarakani kwa wizi wa kura kinarudisha nyuma Taifa zima.
Anafanya niniLukuvi akiwa coco beach!
Mzungu? Wakati kofia kama ya mzee baba wataki wa kampeniMzungu anatumia nguvu kubwa kuondoa kidudu lakini kidudu kimemgomea.
Ujumbe ni kwamba siyo kila tatizo linahitaji kutumia nguvu, tatizo unaloweza kuliona ni ndogo linaweza kukushinda na kukutia adabu ukitaka kutumia ubabe.Duh!! Kumbe ujumbe unahusu koroma, so anaivutia nje ya mipaka inagoma au??