Kipanya awashtukia wateule

Kipanya awashtukia wateule

Huyu kipanya ni mchumia tumbo kama zito na mbowe hana lolote

State agent
well said 100% mkuu,alizowea enzi za ritz 1 akipewa promo za vile vi project uchwara vya maisha plus sasa hakuna tena imekuwa bifu.

huyu na genge linalomtumia tunawajua na sumu iliyowajaa tunaijua sababu yake.
 
Too personal
Kwa tunaomfahamu Masoud Kipanya tunamjua ni mchumia tumbo. Mwanzoni mwa miaka ya 2000 alikuwa na kampuni yake KP. Ipo? Si aliifilisi kwa kukimbiza sketi za Jangwani na Kibasila, mwishowe akarudi kuganga njaa Clouds! Huyo anawatisha ninyi wa Ufipa msiomjua!
 
Nje ya mada. Mkuu hiyo avatar yako imenikumbusha mbali sana wakati wa ubabe wa dola la Umoja wa Jamhuri za Kisoviet USSR au CCCP(Tamka SESESERE)

Mr Putin, please Make Russia Great Again
Utabakia mramba miguu ya chakubanga
 
Mmeshikwa pabaya wanaharamu nyinyi
well said 100% mkuu,alizowea enzi za ritz 1 akipewa promo za vile vi project uchwara vya maisha plus sasa hakuna tena imekuwa bifu.

huyu na genge linalomtumia tunawajua na sumu iliyowajaa tunaijua sababu yake.
 
Ila we jamaa jiwe alitakiwa akupe hata kazi ya upishi jikoni ikulu maana kila uzi unamtetea hata kama utaandika pumba unatimiza wajibu wako vizuri kwa kulipwa buku 7 yako wengine wamekula buku 7 ila hawamtetei kuogopa kuzinguliwa.
Huyu kipanya ni mchumia tumbo kama zito na mbowe hana lolote

State agent
 
Nakuona umepiga suti yako tayari kwenda kuchukua buku zako 7 kutoka lumumba baada ya hii post yako
Kwa tunaomfahamu Masoud Kipanya tunamjua ni mchumia tumbo. Mwanzoni mwa miaka ya 2000 alikuwa na kampuni yake KP. Ipo? Si aliifilisi kwa kukimbiza sketi za Jangwani na Kibasila, mwishowe akarudi kuganga njaa Clouds! Huyo anawatisha ninyi wa Ufipa msiomjua!
tapatalk_1567627458569.jpeg
 
Ila we jamaa jiwe alitakiwa akupe hata kazi ya upishi jikoni ikulu maana kila uzi unamtetea hata kama utaandika pumba unatimiza wajibu wako vizuri kwa kulipwa buku 7 yako wengine wamekula buku 7 ila hawamtetei kuogopa kuzinguliwa.
Haa 😁😀😂😃😄😅
Awamu Hii Itapita Itabidi Warudi Kijijini
 
Ile Picture Ya Kiongozi Akiwa Kaweka Simu Sikio Moja Na Microphone Sikio Jingine Iwekeni Hapa Haraka
😀😁😂🤣🤣🤣🤣😃😄😄😄😅😅😗🙄🙄🙄🙄
 
Back
Top Bottom