Mmawia JF-Expert Member Aug 20, 2013 121,947 95,237 Apr 18, 2021 #1 Kipanya ameendelea kuwashikia kibendera wawakilishi wetu pale mjengoni. Picha hii chini binafsi nimeshindwa kuilewa maana siyo mjuzi wa kusoma habari picha.
Kipanya ameendelea kuwashikia kibendera wawakilishi wetu pale mjengoni. Picha hii chini binafsi nimeshindwa kuilewa maana siyo mjuzi wa kusoma habari picha.
Mmawia JF-Expert Member Aug 20, 2013 121,947 95,237 Apr 18, 2021 Thread starter #3 Maundumula said: Wawakilishi wa matumbo yao Click to expand... Umeonaeee? Ndiyo maana kuna wabunge wengine anamaliza mwaka mzima hata hajachangia juu ya jimbo lake.
Maundumula said: Wawakilishi wa matumbo yao Click to expand... Umeonaeee? Ndiyo maana kuna wabunge wengine anamaliza mwaka mzima hata hajachangia juu ya jimbo lake.
P pamba boy Senior Member Jun 26, 2013 171 239 Apr 18, 2021 #4 Kama hayati angekuwepo nina hakika hakuna hata mbunge mmoja angeweza kuikosoa serikali na tasisi zake iwapo CAG angewasilisha og report
Kama hayati angekuwepo nina hakika hakuna hata mbunge mmoja angeweza kuikosoa serikali na tasisi zake iwapo CAG angewasilisha og report
P pamba boy Senior Member Jun 26, 2013 171 239 Apr 18, 2021 #5 Kama hayati angekuwepo nina hakika hakuna hata mbunge mmoja angeweza kuikosoa serikali na tasisi zake iwapo CAG angewasilisha og report
Kama hayati angekuwepo nina hakika hakuna hata mbunge mmoja angeweza kuikosoa serikali na tasisi zake iwapo CAG angewasilisha og report
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 80,836 93,625 Apr 18, 2021 #7 Mmawia said: Umeonaeee? Ndiyo maana kuna wabunge wengine anamaliza mwaka mzima hata hajachangia juu ya jimbo lake. Click to expand... Wana enjoy keki ya taifa taratibu
Mmawia said: Umeonaeee? Ndiyo maana kuna wabunge wengine anamaliza mwaka mzima hata hajachangia juu ya jimbo lake. Click to expand... Wana enjoy keki ya taifa taratibu
Trimmer JF-Expert Member Apr 25, 2014 2,186 3,380 Apr 18, 2021 #8 Unapanga foreni juani kutwa nzima kupiga kura unachagua durubushu kama hilo,, Ila poa Mungu yupo
Mmawia JF-Expert Member Aug 20, 2013 121,947 95,237 Apr 18, 2021 Thread starter #9 pamba boy said: Kama hayati angekuwepo nina hakika hakuna hata mbunge mmoja angeweza kuikosoa serikali na tasisi zake iwapo CAG angewasilisha og report Click to expand... Kwanza og report isingewasilishwa
pamba boy said: Kama hayati angekuwepo nina hakika hakuna hata mbunge mmoja angeweza kuikosoa serikali na tasisi zake iwapo CAG angewasilisha og report Click to expand... Kwanza og report isingewasilishwa
Slim5 JF-Expert Member Jan 7, 2014 28,108 37,644 Apr 18, 2021 #10 Hivi mnafataga nini kwenye kupiga kura? Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mmawia JF-Expert Member Aug 20, 2013 121,947 95,237 Apr 18, 2021 Thread starter #11 Trimmer said: Unapanga foreni juani kutwa nzima kupiga kura unachagua durubushu kama hilo,, Ila poa Mungu yupo Click to expand... Ndiyo watu wajifunze sasa maana elimu haina mwisho
Trimmer said: Unapanga foreni juani kutwa nzima kupiga kura unachagua durubushu kama hilo,, Ila poa Mungu yupo Click to expand... Ndiyo watu wajifunze sasa maana elimu haina mwisho
three phase JF-Expert Member Mar 31, 2021 343 502 Apr 18, 2021 #12 Mmawia said: Ndiyo watu wajifunze sasa maana elimu haina mwisho Click to expand... Swadakta