unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,505
- 2,862
Msanii wa katuni maarufu kama Kipanya kwa sasa ameamua kuwakilisha kilo cha watanzania kwa watawala bila kuogopa wala kupepesa ebu tazameni hicho kibonzo kwa mwenye akili ataelewa
Sijaelewa unataka kumaanisha nini kwamba nyumba zinabomolewa bila tija au vipi. Kwamba wanaobomolewa wanaonewa au. Hoja yako ni ya kitoto. Kipanya kafanya yake. Lakini wewe kumleta hapa kama hoja ndo nakuona mpumbavu sana. Afu Watu kama nyie bado hamkuwi tu. Kesho kipanya akichora nyingine mtasema kibaraka. Heri mkacheze taarabu tu huko Mombasa. Mana mtu anayefanana na Chura hajulikani lini kasimama lini kachuchumaa ni "NOTHING"