Kipanya anawagutua CCM, ametukosea Sana CHADEMA

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,144
Reaction score
48,369
Nimeangalia Katuni ya Masud Kipanya na nikastuka ni kwa nini anawatoa usingizini CCM. Ina maana Kipanya hajui kuwa Kuna msemo wa kiswahili usemao "aliyelala usimuamshe..."?

Kwa kweli Kipanya katukosea wanachadema kwa kuchora katuni ambayo itawafanya CCM wabadili njia zao za kupambana na CHADEMA.

Katuni yenyewe hii hapa!

IMG-20250515-WA0011.jpg
 
View attachment 3334490
Kuwa wanajaribu kuzuia maji kwa mchanga na unga.
 
Nimeangalia Katuni ya Masud Kipanya na nikastuka ni kwa nini anawatoa usingizini CCM. Ina maana Kipanya hajui kuwa Kuna msemo wa kiswahili usemao "aliyelala usimuamshe..."?

Kwa kweli Kipanya katukosea wanachadema kwa kuchora katuni ambayo itawafanya CCM wabadili njia zao za kupambana na CHADEMA.

Katuni yenyewe hii hapa!

View attachment 3334490
Hii njia ina konakona nyingiii sijui kama CCM watafika
 
Nimeangalia Katuni ya Masud Kipanya na nikastuka ni kwa nini anawatoa usingizini CCM. Ina maana Kipanya hajui kuwa Kuna msemo wa kiswahili usemao "aliyelala usimuamshe..."?

Kwa kweli Kipanya katukosea wanachadema kwa kuchora katuni ambayo itawafanya CCM wabadili njia zao za kupambana na CHADEMA.

Katuni yenyewe hii hapa!

View attachment 3334490
Sasa hili joka lilivyo bwege!.... Wapi kivuli hapo?
Kipanya anatafuta kukutanishwa ña wale jamaa wanaokuja bila hodi...
Acha walale kidogo Tanganyika irudi
 
Kwangu mie ninaemjua Kipanya, from his humble beggining-He is an Independent observer and has an Independen mind...

Hana Uchadema wala Uccm
Which is very good. He is at liberty to see issues with an open mind; which does not mean he cannot tell evil from good.

Kama hana "uCHADEMA au UCCM", haina maana kuwa hana uTanzania.
 
Kuna namna flani wanachadema chakavu wameanza kuchanganyikiwa. Ukipitia tu comments zao unaliona hilo, Wana njia Moja tu Sasa ya kufikiri....... Samia hatari sana!
 
Back
Top Bottom