Lakini inaonyesha bado mzee hataki kwenda mpaka amalize Kutumbua Majipu yote kabisaaaa !!
ha ha h ahaKila nikimtafakari mkwere simmalizi..yaani amemfunika vasco da gama..
JPM hata zulia jekundu atapiga chini huko mbele
JPM hata zulia jekundu atapiga chini huko mbele
hivi hili Zulia likishakanyagwa huwa linakunjwa na kutunzwa wapi? au ndo linatupwa badae linanunuliwa jingine?
Red carpet ni international custom, once you break, you are breaking an international diplomatic relation! Vienna Convention itahusika hapo!