Wabunge wa nchi ya chama kimoja wanajiita chawa wa Magufuli..Mwananchi analalamika juu ya matatizo nchini ila Bunge nalo pia linalalamika ilihali wanayo nafasi ya kimaamuzi na kuibana Serikali.
😏🙄😶😑😐🤨🤔🙂😗😎😉😆😆😀Wabunge wa nchi ya chama kimoja wanajiita chawa wa Magufuli..
Nchi imejamba hii.
Kama vile namuona ndugai nae pia pale akilalamikaMwananchi analalamika juu ya matatizo nchini ila Bunge nalo pia linalalamika ilihali wanayo nafasi ya kimaamuzi na kuibana Serikali.
Dah...wacha tujaribu tu njia nyingine...miaka zaidi ya 50 hakukuwa na vibogoyo...ni ujinga kutatua matatizo yaleyale kwa njia zilezile zilizoshindwa awali [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bunge Kibogoyo! [emoji30]Mahakama Kibogoyo! [emoji31]Wananchi Vibogoyo! [emoji43][emoji43]Mtu mmoja pekee na Sirikali yake, ndiye mwenye meno[emoji51].
Kazi njemaBado msanii nguri wa habari picha maarufu kama Kipanya anaendelea kutuletea chemsha bongo.
Leo kaja na neno maisha,kwa wachambuzi wa hizi habari picha tuelimisheni wajameni.View attachment 1701559
Mambo ya 'elementi' nimepata shida kujua kumbe ni remote. Na hapo juu ni hermet Ila mswahili anaiita elementi.Bungeni kama wameenda kina "Limont" unategemea wataweza wapi kujenga hoja kuibana Serikali iliyowapitisha kiujanja?