Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,027
- 20,414
Yuko vizuri anakipaji cha aina yake
Well doneAnatisha kwa kufikisha ujumbe sehemu ngumu
Well doneAnatisha kwa kufikisha ujumbe sehemu ngumu
Yule amebaki kulialia tu huko twitani😆Sipati picha bunge hili angekuwepo yule wa Nzega mpenda sifa na kujikomba
Wamebaki wachache wenye uwezo huo.Anatisha kwa kufikisha ujumbe sehemu ngumu
Alafu eti mzee wa limonti alipita bila kupingwa. CCM wamelifanya bunge kuwa studio, kila mtu anaingia tu.😤Bungeni kama wameenda kina "Limont" unategemea wataweza wapi kujenga hoja kuibana Serikali iliyowapitisha kiujanja?
Mkuu huyu wa Sasa ninashaka atakuwa mkuu wa wachawi wote duniani.Mwananchi analalamika juu ya matatizo nchini ila Bunge nalo pia linalalamika ilihali wanayo nafasi ya kimaamuzi na kuibana Serikali.
Wenye uwezo kidogo hata Kama wa kinafiki ni hao kina nape, anaibuka kichaa mmoja na kuitetea serikali.Bungeni kama wameenda kina "Limont" unategemea wataweza wapi kujenga hoja kuibana Serikali iliyowapitisha kiujanja?
MchawiBunge Kibogoyo! [emoji30]Mahakama Kibogoyo! [emoji31]Wananchi Vibogoyo! [emoji43][emoji43]Mtu mmoja pekee na Sirikali yake, ndiye mwenye meno[emoji51].
Siyo kwamba ni helmet na si hermet au elementi?Mambo ya 'elementi' nimepata shida kujua kumbe ni remote. Na hapo juu ni hermet Ila mswahili anaiita elementi.
Du na Mie nimekosea ama kweli hujafa hujaumbika🙄🙄🙄Siyo kwamba ni helmet na si hermet au elementi?