Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 665
- 1,278
Hii sio legacy ... Hii ni kumbukumbu.. Kuna tofauti kubwa kati ya legacy na memoryPICHA: Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Morogoro – Makutupora, Dodoma (KM 422) zinaendelea ambapo Ujenzi wa kipande hicho umefikia 61%.
Ujenzi wa Reli hiyo ya Kisasa unatarajiwa kuwekwa mifumo ya kisasa ambayo itamdhibiti mwendeshaji wa Treni kutovuka spidi iliyowekwa.
Kujenga reli ya njia moja karne hii halafu unaiita supermodern SGR ya mwendo kasi ni udanganyifu na upotevu mkubwa wa fedha za maskini. Reli za njia moja zilijengwa hapa nchini na Wajerumani mwaka 1910!PICHA: Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Morogoro – Makutupora, Dodoma (KM 422) zinaendelea ambapo Ujenzi wa kipande hicho umefikia 61%.
Ujenzi wa Reli hiyo ya Kisasa unatarajiwa kuwekwa mifumo ya kisasa ambayo itamdhibiti mwendeshaji wa Treni kutovuka spidi iliyowekwa.
PICHA: Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Morogoro – Makutupora, Dodoma (KM 422) zinaendelea ambapo Ujenzi wa kipande hicho umefikia 61%.
Ujenzi wa Reli hiyo ya Kisasa unatarajiwa kuwekwa mifumo ya kisasa ambayo itamdhibiti mwendeshaji wa Treni kutovuka spidi iliyowekwa.
Ujenzi huu wa reli umekuwa na stori ndefu sana 61% wamefikia mbinguni wakati Dodoma hajaanza kufanya lolote na ndo kuna kipande kikubwa kutoka Dodoma-Singida(Makutupola)Hii sio legacy. Hii ni kumbukumbu. Kuna tofauti kubwa kati ya legacy na memory
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimponda Kikwete inabidi umponde Mkapa.Huenda hujui wanapongezwa ama kupondwa katika nini.
Nadhani utekelezaji wa hii miradi ya kimkakati iko kwenye ilani ya chama inawezaje kuwa ni legacy ya mtu?PICHA: Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Morogoro – Makutupora, Dodoma (KM 422) zinaendelea ambapo Ujenzi wa kipande hicho umefikia 61%.
Ujenzi wa Reli hiyo ya Kisasa unatarajiwa kuwekwa mifumo ya kisasa ambayo itamdhibiti mwendeshaji wa Treni kutovuka spidi iliyowekwa.
Mzee unapambana[emoji23][emoji23][emoji23]Hii sio legacy ... Hii ni kumbukumbu.. Kuna tofauti kubwa kati ya legacy na memory
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kuhamia Dodoma ilikuwa kwenye ilani ya chama tangu mwaka 1978.Nadhani utekelezaji wa hii miradi ya kimkakati iko kwenye ilani ya chama inawezaje kuwa ni legacy ya mtu?
Hapana sipambani natoa ufafanuziMzee unapambana[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakiloni walijenga, bandari (tunayijivunia leo) viwanja vya ndege (tunavyovikarabati leo), Reli (tunayoiboresha leo, barabara (tunazoboresha leo) , viwanda (vilivpuawa na serikali ya ccm). lakini bado tuliwasema vibaya. mwendazake ni nani asisemwe?PICHA: Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Morogoro – Makutupora, Dodoma (KM 422) zinaendelea ambapo Ujenzi wa kipande hicho umefikia 61%.
Ujenzi wa Reli hiyo ya Kisasa unatarajiwa kuwekwa mifumo ya kisasa ambayo itamdhibiti mwendeshaji wa Treni kutovuka spidi iliyowekwa.
Ilani ambazo zimeshindwa kuwapatika watanzania maisha bora aka maendeleo ya watu - watanzania hawa bado wapo kwenye lindi la umasikini mkubwa huku wakipambana na wale maadui watatu ambao Rais wa kwanza Nyerere (Umaskini, Maradhi na Ujinga) aliwataja miaka takribani 60 iliiyopita.Ukimponda Kikwete inabidi umponde Mkapa.
Ukimponda Samia inabidi umponde JPM.
Ukimsifu Nyerere msifu pia na Mwinyi.
Wote ni watekelezaji wa ilani ya Chama kimoja.
Mkuu wengi wana matatizo ya kujifunzia siasa mtandaoni.Huwa sisi watanzania tunashangaza sana tunapojaribu kumponda rais mmoja na kumshabikia mwingine. Wote wanaitekeleza ilani ya CCM, wote hao wanatekeleza malengo yale yale.
Rais Samia aliposema yeye na hayati ni kitu kimoja maana yake ni utekelezaji wa sera zile zile, mikakati ile ile. Ni kichekesho sana kumsimanga rais mmoja na kumpongeza mwingine, kufanikiwa kwa mmoja ni kufanikiwa kwa mwingine kushindwa kwa mmoja ni kushindwa kwa mwingine.
Wangekuwa ni marais wanaotoka vyama tofauti hapo hizi hoja za kishabiki zingeweza angalau kuwa na mashiko.
Exactly, hata alietangulia alikuwa anatimiza majukumu yake katika kutekeleza ilani hiyo.Hata kuhamia Dodoma ilikuwa kwenye ilani ya chama tangu mwaka 1978