"Kipaji kinaanzia utotoni"

"Kipaji kinaanzia utotoni"

Hahahahahaa! Saudari , umenikumbusha mbali sana, Enzi hizo shule ya msingi Mgulani, chi ya usimamizi wake mwl mkuu Mwailafu. Nilikuwa kiongozi wa ngoma ninayejulikana shule nzima kwa kujua kucheza ngoma ya Limbondo, na sindimba . Loh! umenifanya nikumbuke mengi sana.
 
Back
Top Bottom