Kip muhimu?

SURN

JF-Expert Member
Sep 5, 2011
319
36
Mimi ni tha one nilie kosa MKOPO mwaka huu.but wazaz wameamua kunilipia but wanauwezo wakulipa ADA only.mambo mengine amesema hawawez.je kip mhimu ambacho inatakiwa nikalipe ili Nisifukuzwe?nimepangiwa ARDHI (b of arts in economics)
 
<br /> <br /
 
Vyote ni muhimu kulipiwa ndiyo maana vikahitajika. Kama uwezo wa wazazi mdogo, vuta subira ujaribu tena mwakani.
 
hapo unatakiwa uungalie mbele zaidi nakujiuliza je watamudu kugharimikia gharama za hapo baadae? naisije ikawa kwa mwaka wakwanza 2 halafu miaka mingine ikawa soo tena! au wewe unaonaje?
 
Mkuu,ackwambie m2,maisha ya dar magumu sana kwa mwanafunz,we kaa home hapajakaa fresh,vuta subira 2.
 
Back
Top Bottom