Watu wamekutana kwenye wrong number za simu wakawa wachumba na baadaye kuoana itakuwa ni tofauti na JF? Sidhani hivyo itakuwa kawaida tu, tukutane hata kesho.
Haya tukutane.
Wapi sasa?
Napendekeza
- Samakisamaki
- Calabash
- Kwa mfojo (tabata)
- mzalendo pub
- TCC (chang'ombe)
- Break point (mjini)
sasa mkuu unaonaje ungefanya kautaratibu tukaweka update pale juu kisha wadau wakawa wanatwanga kura kwa kila kiota?
unaonaje ukiandaa poll? Andaa viota kama sita hivi. Ila kuna mdau mmoja pia alishaweka list hapo juu. Unaonaje ukianza kuiboresha hiyo?
Ubaya mimi sio mwenyeji wa viota vya dasilamu.
hiyo poa nadhani unaweza kuiupdate wewe mwenyewe apo
Wengine hatupajui Dar (nipo Mlali), tuambie basi how those places look like...
Kutaneni ila msije mkarudi na IDs mpya. Lol.
Tatizo foleni