Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
wiz zizi evo mind tutaweza kweli?
Tukutane kanisani. . .
Raia fulani watu wanaogopa reality wewe! Usione twajimwaya hapa jamvini ukafikiri na reality zetu zipo hivo.....
Aaah nikishakutana na wewe sintaweza kukupinga kwenye hoja mana nakufahamu.
1. Nyumbani Lounge
2. Mafian Lounge
3. Run way
4. Didiz
5. Break Point
ila ujue wengine ni ma mbimbi mtatukimbia bure!!!
sio lazima tuambiane id zetu. Mnakutana tu hiyo sehemu bila kutilia maanani kama huyu yuko jf
hehehe utajikuta uko peke yako na bwana paroko
Sasa kama hutilii maanani uwepo wa mtu JF siuende tu hizo sehemu ukakutane na watu wanaokuwepo siku zote?
Mi mbona siogopi?sijui ni kwa nini watu wanaogopa kuonana. Ndio maana siku moja pakatokea msiba hapa jukwaani kwa memba mmoja ikabidi niulize, kumbe hata jf members huwa wanakufa?
Ila wewe binafsi itafika siku tutaonana maana ni biz oriented issue
Mi mbona siogopi?
Watu wapo wengi tu wanaokutana, sema wale waliozoeana.
Mmmh what biz?
sasa hao mnaokutana, changanya na hawa watarajiwa, kiota kinatimia. About the biz, i will tell you when the time is ripe
Watu wamekutana kwenye wrong number za simu wakawa wachumba na baadaye kuoana itakuwa ni tofauti na JF? Sidhani hivyo itakuwa kawaida tu, tukutane hata kesho.Watarajiwa ndio waoga sasa.
Ukichangie ile ishu ya "ukimwona mtu waweza kukimbia" yani watu full kuwatisha wenzao humu.
Orait. . . . nasubiria.