Kiota cha software-ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiota cha software-ushauri

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Sizinga, Nov 3, 2009.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2009
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Hey wakubwai, hivi karibuni nataka n'tiee maguu bongoland, sasa mimi nataka niwe mjasilia-hali-na mali,nataka nifungue kiota cha kuuza softwares za computers na zile za simu,yaani nitakuwa nafanya mwenyewe zile kazi za ku-install software, na kwa wale wanaoziitaji basi nitakuwa naziuza.

  Ni latest software kama vile za OS (Operating System) ikiwa ni New Window 7, XP (sp1,sp2,sp3), na zile za linux (gnome na kde-environment), Mac na zile software za ofisini na kwenye ma-bussiness, hapa naunganisha na software za aina zote za ku-mix muziki na videoz, ku-design websites, photoshop (CS3 NA CS4), 3dMax, AutoCAD (from 2000 to 2010),

  Kwa ufupi kila aina ya software mtu anayoitaka ataipata toka kwenye hicho kiota!!

  Sasa nataka nijue upepo wa bongo kwenye biashara kama hizi upoje? Inalipa au bado tupo enzi zile za 47? Na vipi wale ''mafisadi'' hawawezi kunitia kwenye mkono wa sheria, manake mimi ni Pirate mkubwa sana Online na hapa ninazo software zaidi ya milioni 1..?

  Najua hapa hakuna kinachoshindikana, hasa kwa wale waliokuwa nyumbani(tz)
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Nov 3, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Mkuu,

  Kama umezipata zote hizo BURE kwanini usigawe BURE pia? Manake pirated warez are not for sale as far as I know.

  Well, kama unauza Genuine hilo nina hakika hata nje ya Bongo soko utapata, hizi pirated nadhani utawashika masikio wasiojua tofauti yake na Genuine...

  Nipo nipo...
   
 3. GP

  GP JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  invizibo umeonekana leo, duh!.
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2009
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  ofcoz hizi za window,ingawa ni pirated lakini zipo madhubuti mno,kwani zina-update kama kawa from genuine, ila sijajua gharama zake,kama mfano kuinstall new window 7 itacost kiasi gani na vitu kama hivyo..........
   
 5. October

  October JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Uwe makini siku hizi Microsoft representatives walioko Nairobi huzungukia baaadhi ya ofisi hapa Dar, Walitutembelea mwaka jana karibu watutoe roho.
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Bad idea mkuu, kwanza ni illegal, pili mtandao unaboreshwa bongo siku hizi so hakuna atakayeshindwa kuzidownload hizo pirated version.
   
 7. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2009
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,276
  Trophy Points: 280
  Mjasirimali ni mtu ambae yupo tayari kuingia katika soko kama unalotamani akiwa amejizatiti na mtaji pamoja na uhakika wa supply zote zikiwa Genuine.

  Pia tabia ya kutaka kurundika kila aina ya bidhaa hasa zisizo genuine kwenye soko la wasojua kitu ni kinyume na ethics za biashara.
   
 8. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Get creative guys, stop this laziness. Kama huna "ujasirimali" wa kweli endeleza "kubeba box".
   
 9. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ukonga ileeee inakuita
   
 10. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Huu nao ni ufisadi.

  Hehehe baada ya muda tutaanza kuambiwa fulani ni mfano wa kuigwa karudi anafanya mambo makubwa.
   
 11. Freelancer

  Freelancer JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 2,650
  Likes Received: 1,168
  Trophy Points: 280
  Hivi kama mi nimeipata software for free lazima niigawe for free? Ndo hapo tunapokosea. Naweza ikawa nimeipata free kwa maana ya kwamba sikulipia leseni yake. lakini naweza nikawa nimeingia gharama ikija ishu ya total cost ownership. Na pia inawezekana nmikawa nimeiboresha ili ifanye kazi lkwenye mazingira fulani. Ndo maana kuna baadhi ya product za kama mysql na redhat zinauzwa.
   
 12. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  Mkuu hiyo statement yako haijakaa freshi.

  Ukinitafutia kitabu cha elektronik cha "Project management" ulichokipata kwenye net bila kulipia - your expertise to find it cost zero Tsh? What about your time?
   
 13. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #13
  Nov 11, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ndugu hapo kwenye net unapokaa hulipii ? Halafu kama kitu unajua kinauzwa na kina license yake kwa mfano wewe ukakipata kwa bure kwa njia yoyote ujue nawe ni mmoja wa wahalifu
   
 14. K

  Kosmio Senior Member

  #14
  Nov 11, 2009
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 128
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nisingekushauri uje all the way kuuza "pirate material". Tanzania inabadilika haraka katika mambo ya IT na hii ishu ya pirate inafanyiwa kazi..
   
 15. m

  majogajo JF-Expert Member

  #15
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hyo business kwa bongo hutoki ng'oooooooooo
   
Loading...