Kioo cha S4 GT-I9500 kinahitajika

Kioo cha S4 GT-I9500 kinahitajika

nerilan

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2013
Posts
470
Reaction score
713
Wakuu habari ya jioni. Natafuta mtu mwenye kioo original cha Samsung S4 hapo juuikiwa ni pamoja na ile digitizer. Yangu ilianguka na kupasua kioo. Simu ni nzima kabisa sema changamoto ni kioo kimekufa.

Msaada tafadhali.
 
Sio wote wanaweza nunua S9. Ndio maana zaidi ya asilimia tisini ya Watanzania wananunua magari second hand ambayo yalikuwa mapya zaidi ya miaka mitano iliyopita.

Bado unayo? Sasa tunaongelea ujio wa S9...

Jiongeze....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom