Kuna Ndugu yangu anahitaji Kioo cha Mbele cha Jeep Grand Cherokee ya 2003, Chasis No 1J8G848S54Y109848. kama unajua sehemu kinaweza patikana please wasiliana nami
Najua unawezasumbuka kukipata..ukishindwa kabisa naomba uni PM juzijuzi nilimtumia mtu kioo cha gari tokea hapa dubai..umefanya vizuri sana kuweka chasis number..najua utasumbuka kupata hapo ulipo lakini ukikosa kabisa tuwasiliane
Kuna Ndugu yangu anahitaji Kioo cha Mbele cha Jeep Grand Cherokee ya 2003, Chasis No 1J8G848S54Y109848. kama unajua sehemu kinaweza patikana please wasiliana nae kwa No 0712008248 au email rizikik@gmail.com
Sasa ndugu yangu nimepiga simu sehemu mbalimbali hapa dubai..wengi hawana ila kuna windscreen supplier mmoja anavyo..bei ni tsh 450000/ ungekuwa nairobi ni rahisi sana kutuma inge cost laki 1.5 ungepata ndani ya siku 3 bila kulipia ushuru huko..lakini kwa Tz utumaji ni ghari..kama nilivyokwambia akikosa +971504374387 dubai..ndio namba yangu...tutapanga jinsi ya kukituma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.