Kiongozi wa ugaidi Westgate, Kenya

Una uhakika ndie kiongozi wao? Au unafata mkumbo tu
 
Achana nae huyo sungura ujanja wake hapa kikomo. Anakumbatia kivuli kwa imani. Ndo aliekuwa anatuletea maji enzi za ujana tukiishi sinza.
...naona unajitihada ya sizitaki mbichi hizi.

Drone zangu zinanithibitisha hajawahi kuwa kidumu

yaani chumbani uingie na mie? Manake kama ni kazi za kupaka rangi na kumove makabati anaganya paw mwenyewe! Wewe wa kibarazani lol
ex kidumu mbona umeshtuka kama vile Paw katukuta chumbani.
 
Last edited by a moderator:

Mama Paw kama ushawahi kuwa kidumu cha huyo mangi basi kanunue bullet proof na helmet ngumu
 
Last edited by a moderator:
wapi, Paw mie nina anti-drone missiles, sasa muulize nimejuaje kioo cha dressing table yake kimepasuka kidogo wakati upepo uliangusha curtain rod ikaangukia kwenye kioo. BTW King'asti, ulitafta fundi wa kukirudishia?
 
Last edited by a moderator:
Hehehe hamna banaa.
Ila siku hizi namuogopa paw aisee, nahisi atatumia weapons of msaa destruction nikitangaza kumuacha. Ngoja niwe mpole manake nampendaje sasa?
Mama Paw kama ushawahi kuwa kidumu cha huyo mangi basi kanunue bullet proof na helmet ngumu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…