Kiongozi wa Uamsho mahututi Zanzibar

Kiongozi wa Uamsho mahututi Zanzibar

Nina dawa inayotibu matatzo ya kibofu cha mkojovizur sana.watu wengi wanapona kama bado tatzo linamsumbua naomba tuwasiliane kama shida ni kibofu cha mkojotu atapona.0759217720
 
Anasumbuliwa na vijiwe kuziba njia ya mkojo au alikuwa Ana tabia ya kuruka ukuta?
 
Afe tu apunguze idadi ya magaidi hapa duniani
Godamn.

Huku ni kuongeza uadui tu au ni kutaka sifa kwani kuandika maneno kama haya mi naona ni ukosefu wa haya na chuki binafsi aaaaauuuu malezi mabovu
 
Wakati mwingine Kifo kwa binadamu ni muhim na lazima.

R.I.P in advance. Go go go to hell asap
 
Tunamuombea kwa Allah Amghufurie dhambi zake zake za kuua watu na AmRehemu kwa rehema zake. AMIN
Kwa kila alokuwa na Magonjwa Tunamuombea kwa Moula Karim Amponyeshe. AMIN
kwa kila mwenye MARADHI sugu Tunamuombea kwa MwenyEzzi Mungu Al-Shaafi Amuondolee Maradhi. AMIN
Kwa kila Mwenye Maumivu yanayotokana na tindikali,mabomu na moto kanisan tunamuombea kwa Allah Ampe takhfifu. AMIN
 
Mungu amjalie apate ahueni na haki yake, samahani lakini AL-SHAAFI ndo Mungu wa kuondoa magonjwa? Sijaelewa
 
Sio kulalamika ndio ukweli watu wasiona hatia ndio wako ndani bila bail wauza sembe wanapewa bail hii kweli ni haki?

Wauza sembe wanachangia pato la taifa tatzo hawa wazee wa kuamsha wanaleta vurugu..
 
jamani mwandishi ni muongo na mnafki kabisa, Hio taarifa imeshapitiwa na wakati na inaonekana ni taarifa ya tanguia september 2013 ameileta leo ya nini? mleta mada haujui ya update sema uambiwe kwa taarifa tu nikwamba huyo sheikh Azzan alishapelekwa india kwa matibabu na alisharudi mda tu sasa kumzushia uongo wa umahututi umetokea wapi? Acheni chuki za kisiasa na wazanzibariiiiiii
 
WEWE NDIO MUONGO nani kakwambia mwandishi wa thread hii kaileta leo
Thread yoyote inayoonekana Front page hata kam ni ya zamani ujue imeibuliwa na mchangiaji mwingine ndio maana ikaibuka leo,

Swali huu ugonjwa wa kuziba vibofu vya mkojo ni kwa ajili ya KURUKA UKUTA

Hata km kapona lakini si ndio Ugonjwa uliompeleka India???
Mada ndio imerudi kihivyo
 
Huku ni kuongeza uadui tu au ni kutaka sifa kwani kuandika maneno kama haya mi naona ni ukosefu wa haya na chuki binafsi aaaaauuuu malezi mabovu
what da fuc.........
 
what da fuc.........

Jibu hoja ww usijifunzie English humu kwa kunakili, hakuna udikteta hapa kwani nikitoa maoni yangu na kusema ukweli ni vibaya nyie ndio mmnaofata mkumbo kila unalosikia unakurupuka tu bye the way you are one of them and I don't blame you
 
Anasumbuliwa na vijiwe kuziba njia ya mkojo au alikuwa Ana tabia ya kuruka ukuta?

kuruka ukuta kwani yeye ni mwizi mpaka aruke ukuta. kwanini asipite kwenye geti halali. Atakua mhalifu basi kama anaruka ukuta
 
Kwa kila alokuwa na Magonjwa Tunamuombea kwa Moula Karim Amponyeshe. AMIN
kwa kila mwenye MARADHI sugu Tunamuombea kwa MwenyEzzi Mungu Al-Shaafi Amuondolee Maradhi. AMIN
Kwa kila Mwenye Maumivu au dhikii, au huzuni tunamuombea kwa Allah Ampe takhfifu. AMIN
kwa kila mwenye Shida au Umasikini au Mahbusu(kwa dhulmaa)Tunawaombea kwa Subu-Hana-Wataala Awape Ahweni na Faraja. AMIN na kwa Shk. Khalid Azzan Hamdan Muumba mwenyEzzi Mungu Amrejeshe AFYA na uzima. AMIN
WaSallaLahu Aleiyhi WaSalaam.

Amiina rabil allamiina
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom