ila nao wanamakosa ya kuhatarisha amani ya nchi.
NduguYangu Udaa! Poa na usije na presha. Ubinaadamu kwangu ni muhimu, Utuu kwa jamii zote ni wajibu, Maradhii kwa waathirka ni matunzo (care).!!Ajiamshe sasa,sianacheza na dola!.
alipokuwa akihatarisha amani ya nchi hakujua hayo yote uyasemayo mkuu?
Maudhui ya Amani hayo yanahusu SHERIA ZENYE KUFUATA HAKI na MAADILI ya WANANCHI na NCHI yao.
Kama ingelikuwa wamehukumiwa na uthibitisho uliwakwazaa na kuonekana dhahiri basi hapo hukumu itendeke kikamilifu.
Ama kuwa weka kiziwizini mda wote huu !! Samahani nd.Udaa hiyo haikubaliki kwa mukhtadhaa waina yeyote duniani na hakuna nchi inafanya miparaganyo ya aina hiyo. be fair waekeni wenye makosa kizimmbani na mutoe HUKUMU, wangine wapeni uuhuru wao. " funga kazi" haya sii ya ushabikio. kila la kheri yote hayatadumu milele, Daily twashuhudia mwisho wa mtu huwa vipi.
Waznz naowamekwenda shule yale mambo ya zamani kuwaburuza ya mekwisha wanajua haki zao za msingi
ndio kaache utahira wake..
ka-kome!
ila nao wanamakosa ya kuhatarisha amani ya nchi.
2acha udini huo na nadhani ukatoliki. Hivi lwakatare hakuichezea dola? yupo wapi sasa hivi? si anapata matibbu nje na wote kesi zao ziko mahakamani.
Wacha chuki za kidini hizo , chuki za kibongo, chuki za washenzi
Katika maelezo yake kuna sehemu yeyote inaashiria UDINI? Wewe ndio hasa mshenzi, kila kitu unakihusisha na dini ili upate support ya waswahili wenzako. Tumia kichwa kufikiri acha kukurupuka
Mkuu vipi lepo ? Plz. umehakikisha kuwa umefuatilia from begining (top) othe thread !! follow the comments...Katika maelezo yake kuna sehemu yeyote inaashiria UDINI? Wewe ndio hasa mshenzi, kila kitu unakihusisha na dini ili upate support ya waswahili wenzako. Tumia kichwa kufikiri acha kukurupuka
Still I your friendi ..... Good luck baby.
ndio kaache utahira wake..
ka-kome!
Mkuu niambie wapi mimi nimetumia neno MSHENZI au UDINI katika maoni yangu ????
Ndugu Yangu Abi. Umzima wa hali? Hakuna mtu anajitamania Magonjwa/Maradhi/Umasikini hayo ni matakwa ya Muumba(Allah) humkumbuka mjaawake !! Magonjwa sii aibu au kashfaa au fedheha. Haya ni ya "kilimwengu" yanaweza kumkumba mtu yoyote. Nasikitika kuona upeo wako mduchu na akili ulizopewa unazitumia bila mwelekeo maalum " " PoorMan
siwezi kukutukana ila Ujue Mimi, wewe, yule,wale na wenye nguvu, Dola na viumbe vyote siku ikifika hakuna wa kukufaa..............!
tutachimbiwa shimo na kulazwa kuudongo na tuwe chakula cha funza na wadudu.!!! Omba salaama au poa kimya.
Dola gani wewe kilaza kugombania haki za wanyonge ndio kosa?
Mwambie akihukumu nae atahukumiwa.
Huyo jamaa kama akipona na akaamua kutetea wachoma moto makanisa, misikiti na tinfikali kwa kwenda mbele, basi ni heri atokomee kusikojulikana.Kwa kila alokuwa na Magonjwa Tunamuombea kwa Moula Karim Amponyeshe. AMIN
kwa kila mwenye MARADHI sugu Tunamuombea kwa MwenyEzzi Mungu Al-Shaafi Amuondolee Maradhi. AMIN
Kwa kila Mwenye Maumivu au dhikii, au huzuni tunamuombea kwa Allah Ampe takhfifu. AMIN
kwa kila mwenye Shida au Umasikini au Mahbusu(kwa dhulmaa)Tunawaombea kwa Subu-Hana-Wataala Awape Ahweni na Faraja. AMIN na kwa Shk. Khalid Azzan Hamdan Muumba mwenyEzzi Mungu Amrejeshe AFYA na uzima. AMIN
WaSallaLahu Aleiyhi WaSalaam.