Kiongozi wa Uamsho mahututi Zanzibar

Kiongozi wa Uamsho mahututi Zanzibar

Makanisa mnachoma wenyewe hakuna muislam hata moja akaweza kuchoma kanisa kama sio watu kutoka bara watu wakitengo unafikiri watu hawajui

Mkuu umeanza lini kupata matatizo ya akili? Ngoja nikukumbushe moja tu, lile kanisa la kilutheri pale Mbagala zakhem lilichomwa na nani?
 
Huyo jamaa kama akipona na akaamua kutetea wachoma moto makanisa, misikiti na tinfikali kwa kwenda mbele, basi ni heri atokomee kusikojulikana.
UmeKurupuka MwanaWee, FYI hayo maombi hujayaelewa, ama lugha inakupa shida,Umejaa dhana mbovu nk. !! Ukisoma maombi kwa kutafakari inawezekana ukafahamu some important elements. Zaidi huyo mgonjwa akithibitika kutetea uovu wake Basi hata mie sikoradhi na sikubaliani nae kamwe, na sheria iwajibike. With deep regret makosa ya wengine hubambikizwa wengine.... nani analipa gharama ? Usalama na Amani kwa jamii.
 
Ndugu zangu muwazima wa hali? Hakuna mtu anajitamania Magonjwa/Maradhi/Umasikini hayo ni matakwa ya Muumba(Allah) humkumbuka mjaawake !! Magonjwa sii aibu au kashfaa au fedheha. Haya ni ya "kilimwengu" yanaweza kumkumba mtu yoyote. Nasikitika kuona upeo wako mduchu na akili ulizopewa unazitumia bila mwelekeo maalum " " PoorMan
siwezi kukutukana ila Ujue Mimi, wewe, yule,wale na wenye nguvu, Dola na viumbe vyote siku ikifika hakuna wa kukufaa..............!
tutachimbiwa shimo na kulazwa kuudongo na tuwe chakula cha funza na wadudu.!!! Omba salaama au poa kimya.
Kwa alofariki duniani Tunamuombea kwa Allah Amghufurie dhambi zake na AmRehemu kwa rehema zake. AMIN
Kwa kila alokuwa na Magonjwa Tunamuombea kwa Moula Karim Amponyeshe. AMIN
kwa kila mwenye MARADHI sugu Tunamuombea kwa MwenyEzzi Mungu Al-Shaafi Amuondolee Maradhi. AMIN
Kwa kila Mwenye Maumivu au dhikii, au huzuni tunamuombea kwa Allah Ampe takhfifu. AMIN
kwa kila mwenye Shida au Umasikini au Mahbusu(kwa dhulmaa)Tunawaombea kwa Subu-Hana-Wataala Awape Ahweni na Faraja. AMIN na kwa Shk. Khalid Azzan Hamdan Muumba mwenyEzzi Mungu Amrejeshe AFYA na uzima. AMIN
WaSallaLahu Aleiyhi WaSalaam.
 
UmeKurupuka MwanaWee, FYI hayo maombi hujayaelewa, ama lugha inakupa shida,Umejaa dhana mbovu nk. !! Ukisoma maombi kwa kutafakari inawezekana ukafahamu some important elements. Zaidi huyo mgonjwa akithibitika kutetea uovu wake Basi hata mie sikoradhi na sikubaliani nae kamwe, na sheria iwajibike. With deep regret makosa ya wengine hubambikizwa wengine.... nani analipa gharama ? Usalama na Amani kwa jamii.
Kumwachia Mola mambo ambayo ni dhahiri ni ulemavu wa akili.
Kama mtu anajulikana kutetea uovu ndani ya jamii kwa minajili ya kisiasa, basi kila baya linalompata ni kwa manufaa ya jamii.
Kumwombea heri ni kutema mate juu na utegemee mambo yatakuwa shwari.
Kwa nchi nyingine huyo ni wa risasi tu!!
 
inshallah mungu atampa afya njema na harakati zitaendelea japokuwa wanaitwa watu hatari katika nchi kwa kusema ukweli!!!

izi dhulma zina mwisho ukishaitambua haki na ukasimama kwenye haki mbele ya kafiri na ukamkanusha sultan jeuri wewe kwenye macho ya makufar lazma uonekane gaidi na mvunjaji amani....hamtopata pepo mpaja myapate yalowapata walokua kabla yenu..kwaiyo hii mikiki mikik ni faradh kwa muislam yoyote alojitambua mbele ya makucha ya madhalim
 
Kumwachia Mola mambo ambayo ni dhahiri ni ulemavu wa akili.
Kama mtu anajulikana kutetea uovu ndani ya jamii kwa minajili ya kisiasa, basi kila baya linalompata ni kwa manufaa ya jamii.
Kumwombea heri ni kutema mate juu na utegemee mambo yatakuwa shwari.
Kwa nchi nyingine huyo ni wa risasi tu!!
Kwako risasi !! sijui mabomu, sijui jela , sijui vitisho wewe unaona kitu kikubwa.! Wewe hauna Diplomacy wa tolerance yaani kilocho mbele yako ni kuUA tu !! OK naona dunia hii tungelikuwa tunaishi na VISASI 24/7 tu, au siyo? Mahakimu, majaji wasingeteuliwa au kushirikishwa kuhukumu jamii. Lakini madamu wewe 7 (your shapes) Mumenyeshwa damu za watu ? kwenu kila kitu ni to kill. !! Tumia upeo wako mrefu wa kutafakari na kusettle mambo kibinaadamu na siyo kukurupuka katika any sintofahamu. Ndiyo maana nikawa natoa MAOMBI yawe SALAAMA-n-Salamaa. (yaaRabi salimm).
 
Mkuu usijikanganye kwa yanyoonekana sasa katika jamii.
Ndiyo maana nikakwambia kwa yale ya kutumia akili, tunamchosha Mola kujazia mambo ambayo hata sisi wenyewe twaweza kuyatatua.

Mtu anayetetea mambo yake ya kisiasa kwa kuchinja, kuchoma moto makanisa na misikiti, kuuwawa mapadre na kumwagiwa tindikali masheikh-huyo unamwombea rehma kwa Mola yupi.
Na wale waathirika unawaweka fungu gani?
Unafiki ni kitu kibaya, na kita muumiza zadi mnafiki mwenyewe.
Ndiyo maana kuna Jino kwa Jino,Jicho kwa Jicho, huyo aliyetetea hayo maovu katika jamii hastahili huruma ya jamii.
Na kwa kawaida Mola demokrasia yake huwa ni ya ajabu sana!!
Walipokuwa wakitetea mauaji, kuchoma mioto na vurugu za kila aina, hawakujua Mola yupo?
 
Kumwachia Mola mambo ambayo ni dhahiri ni ulemavu wa akili.
Kama mtu anajulikana kutetea uovu ndani ya jamii kwa minajili ya kisiasa, basi kila baya linalompata ni kwa manufaa ya jamii.
Kumwombea heri ni kutema mate juu na utegemee mambo yatakuwa shwari.
Kwa nchi nyingine huyo ni wa risasi tu!!

Amwagiwe tindikali au achomwe moto yeye. Ye si anaona raha kuchoma makanisa moto. Avishwe piraaa apigwe kibiriti.
 
Mkuu usijikanganye kwa yanyoonekana sasa katika jamii.
Ndiyo maana nikakwambia kwa yale ya kutumia akili, tunamchosha Mola kujazia mambo ambayo hata sisi wenyewe twaweza kuyatatua.

Mtu anayetetea mambo yake ya kisiasa kwa kuchinja, kuchoma moto makanisa na misikiti, kuuwawa mapadre na kumwagiwa tindikali masheikh-huyo unamwombea rehma kwa Mola yupi.
Na wale waathirika unawaweka fungu gani?
Unafiki ni kitu kibaya, na kita muumiza zadi mnafiki mwenyewe.
Ndiyo maana kuna Jino kwa Jino,Jicho kwa Jicho, huyo aliyetetea hayo maovu katika jamii hastahili huruma ya jamii.
Na kwa kawaida Mola demokrasia yake huwa ni ya ajabu sana!!
Walipokuwa wakitetea mauaji, kuchoma mioto na vurugu za kila aina, hawakujua Mola yupo?
user-online.png
ALEYN
Amwagiwe tindikali au achomwe moto yeye. Ye si anaona raha kuchoma makanisa moto. Avishwe piraaa apigwe kibiriti.
Mie nimeplay my role kama raia Mwema na ni fahari kwangu kuheshimu Mwanaadamu bila kujali (faith) kama maombi waona hayakufai basi ni wewe!! Utu niliyoutukuza ni haki yangu kumtetea mtu wa aina yote awe Jabari au Myonge !!
Kuhusu Waathirika Sote tuna hisia na Majonzi kwa mapana na marefu Si ndiyo maana ninamshughulisha Mwenyezi Mungu
Moula karimu na Mwenye rehema awenasi always!! Nanitaendelea kumkumbatia Mwenyezzi Mungu katika lote madamu Yeye ndiyo mwenye UWEZO kwa maana ya UWEZO.
ila kwa upande wenu mnaotumia risasi, piraaa ,kibiriti, mabomu nk. Hayo hayajaanza leo na hataishia kwa hapo.
just be fair...tuwe wenye kujadili kwa makini na fairness with justice. kutumia SHERIA sii kutumia hisia au ubambikizaji.
Tutasalimika wote.
 
Katika maelezo yake kuna sehemu yeyote inaashiria UDINI? Wewe ndio hasa mshenzi, kila kitu unakihusisha na dini ili upate support ya waswahili wenzako. Tumia kichwa kufikiri acha kukurupuka
wewe ni mshenzi na historia inasema hivyo. Wewe ndio huna uwezo wa kufikiri. Pengine kiswahili kinakupiga chenga. Na kweli asiejua maana hajui maam na ukimwambia maana atasema unamtukana. Lwakatare ni nani na anatuhumiwa nini na sasa yuko wapi? Mbona humzungumzi vibaya yeye ni pope?
 
Zanzibar. Kiongozi mwandamizi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu,Sheikh Khalid Azzan Hamdan amelazwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja akiwa chini ya ulinzi wa askari Magereza na polisi kuanzia Septemba Mosi mjini hapa imefahamika.

Akizungumza na Mwananchi Kamishna wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar (Magereza), Khalifa Hassan alisema Azzan aliwahi kuishiwa nguvu za miguu mara mbili akiwa katika mahabusu ya Gereza la Kinuai,Mkoa wa Mjini Magharibi kisiwani Unguja.

Hassan alisema,kufuatia hali hiyo, magereza waliamua kumpelekea katika hospitali hiyo ya Mnazi Mmoja na kuamriwa alazwe kwa uchunguzi zaidi na matibabu kufuatia afya yake kuzorota ghafla.

Alisema, watuhumiwa wengine wanaokabiliwa na kesi ya uharibifu wa mali na kuhatarisha usalama wa Taifa mbali na Azzan, wanaendelea vizuri na wako katika afya njema ambapo jana walifikishwa mahakamani bila ya mshtakiwa mwenzao huyo kuwapo.

Wakili wa washtakiwa hao, Abdallah Juma alisema baada ya kupokea taarifa za mteja wake kuwa mgonjwa, aliamua kumjulia hali akiwa hospitali, lakini askari walioimarisha ulinzi katika chumba cha wagonjwa wa mahabusu na wafungwa walisema hawawezi kumruhusu bila ya kupewa kibali cha uongozi wa magereza Zanzibar.

Hata hivyo, Wakili Abdallah alisema, mteja wake Azzan anasumbuliwa na matatizo katika kibofu cha mkojo kutokana na kuwa na vijiwe ambapo alitakiwa kutibiwa nchini India na Afrika Kusini.

Katibu wa Hospitali ya Mnazi Mmoja,Omar Abadllah Ali alisema kwamba tayari daktari anayemshughulikia ameshachukua vipimo muhimu na anaendelea kufanya vipimo maalumu kwa kutumia mashine ya picha.

Hata hivyo alisema ni mapema kuyazungumzia maradhi yanayomsumbua mtuhumiwa huyo, lakini alikiri na kusema amelezwa katika chumba maalumu hospitalini hapo.

Chanzo: Mwananchi[/QUOTEMwenyezi Mungu mwingi wa rehma amlaze pahala pema,ala kumbe bado haja danja!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom