Nasema Uongo Ndugu Zangu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 261
- 779
CCM ni jina tu na matambara yanayoitwa bendera si kitu bali tatizo ni kuwa na wanaoitwa viongozi vilaza na weziKwa ujumla CCM ndiyo isiyofaa kutawala nchi hii! Imechoka sana
Wapumbavu tu ndiyo huandika comment za namna hii.
Tufanyeje..??!Kulalamika tu, haisaidii kitu.
Tuhamie Burundi 😩Tufanyeje..??!
Hebu toa mwongozo.
Vyombo vitusaidie.Tufanyeje..??!
Hebu toa mwongozo.
Sisi huwa tunajibu hivi 👇Ukiwa na kiongozi ambaye anaacha huru wanasiasa (hasa wapinzani) kufanya siasa kwa uhuru ila akafeli kwenye
1. Kudhibiti mfumuko wa bei.
2. Kudhibiti nidhamu ya watumishi wa Umma.
3. Kudhulumu maskini kwa kuanzisha tozo lukuki kisa kashindwa kukusanya kodi halali kwa makampuni makubwa.
4. Kufukuza watu kwenye maeneo yao asilia kupisha wawekezaji wakigeni.
5. Kuteua watu wenye kashfa kubwa za wizi, ufisadi na ubadhilifu wa fedha za serikali.
6. Mwoga na asiyetayari kufa kwaajili ya kuwatetea watu wake.
7. Anayeshindwa kutatua changamoto za watu wake Kwa kutumia njia yoyote hata kama itawachukiza mabeberu mf. Kuagiza mafuta na ngano toka Urusi maana Urusi wamesema wako tayari kuuza bidhaa hizo Africa bila kuongeza chajuu.
Ukiona kiongozi hawezi mambo hayo basi huyo hatufai hata kama ataruhusu tumnange.
TUNAHITAJI CHUMA AMBACHO HAKIAMBILIKI KAMA PUTIN ILI TUVUKE.
Mkuu, umeshasahau mara hii mazuri yote ya "royal tour" na kufikia hata kiwango cha kuilinganisha na hifadhi mpya ya Burigi!?Ukiwa na kiongozi ambaye anaacha huru wanasiasa (hasa wapinzani) kufanya siasa kwa uhuru ila akafeli kwenye
1. Kudhibiti mfumuko wa bei.
2. Kudhibiti nidhamu ya watumishi wa Umma.
3. Kudhulumu maskini kwa kuanzisha tozo lukuki kisa kashindwa kukusanya kodi halali kwa makampuni makubwa.
4. Kufukuza watu kwenye maeneo yao asilia kupisha wawekezaji wakigeni.
5. Kuteua watu wenye kashfa kubwa za wizi, ufisadi na ubadhilifu wa fedha za serikali.
6. Mwoga na asiyetayari kufa kwaajili ya kuwatetea watu wake.
7. Anayeshindwa kutatua changamoto za watu wake Kwa kutumia njia yoyote hata kama itawachukiza mabeberu mf. Kuagiza mafuta na ngano toka Urusi maana Urusi wamesema wako tayari kuuza bidhaa hizo Africa bila kuongeza chajuu.
Ukiona kiongozi hawezi mambo hayo basi huyo hatufai hata kama ataruhusu tumnange.
TUNAHITAJI CHUMA AMBACHO HAKIAMBILIKI KAMA PUTIN ILI TUVUKE.
Mwaka na nusu tangu kifo cha JPM kitokee naona wewe bado umevaa nguo nyeusi, matanga hujayamaliza.Ukiwa na kiongozi ambaye anaacha huru wanasiasa (hasa wapinzani) kufanya siasa kwa uhuru ila akafeli kwenye
1. Kudhibiti mfumuko wa bei.
2. Kudhibiti nidhamu ya watumishi wa Umma.
3. Kudhulumu maskini kwa kuanzisha tozo lukuki kisa kashindwa kukusanya kodi halali kwa makampuni makubwa.
4. Kufukuza watu kwenye maeneo yao asilia kupisha wawekezaji wakigeni.
5. Kuteua watu wenye kashfa kubwa za wizi, ufisadi na ubadhilifu wa fedha za serikali.
6. Mwoga na asiyetayari kufa kwaajili ya kuwatetea watu wake.
7. Anayeshindwa kutatua changamoto za watu wake Kwa kutumia njia yoyote hata kama itawachukiza mabeberu mf. Kuagiza mafuta na ngano toka Urusi maana Urusi wamesema wako tayari kuuza bidhaa hizo Africa bila kuongeza chajuu.
Ukiona kiongozi hawezi mambo hayo basi huyo hatufai hata kama ataruhusu tumnange.
TUNAHITAJI CHUMA AMBACHO HAKIAMBILIKI KAMA PUTIN ILI TUVUKE.
Ni mpumbavu na mshenzi asiejua hili wala lile hana mbele wala nyuma..shwain kabisaa..watu tunaongelea mambo ya mana huyo fala analeta ukabila kwenye mambo nyeti kwa nchi..mijitu kama hii ni kula chuma tuu..shitWapumbavu tu ndiyo huandika comment za namna hii.