OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,206
- 103,782
Akiwa Mlele mkoani Katavi,kiongozi wa wakimbiza Mwenge kitaifa amewaita watanzania wanaopinga mbio za mwenge kuwa wamechanganyikiwa.Amesisitiza kuwa mwenge huu si wa CCM ni wa watanzania wote kwani unatia hamasa katika shughuli za ujenzi wa taifa.Wakiwa Katavi msafara huo ulizindua ujenzi wa nyumba za walimu na nyumba za shirika la nyumba la Taifa. ..SWALI: Pesa za madawati hamna za Mwenge mnapatia wapi?