Kiongozi wa Mwenge:Wanaopinga Mwenge wamechanganyikiwa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,191
103,713
Akiwa Mlele mkoani Katavi,kiongozi wa wakimbiza Mwenge kitaifa amewaita watanzania wanaopinga mbio za mwenge kuwa wamechanganyikiwa.Amesisitiza kuwa mwenge huu si wa CCM ni wa watanzania wote kwani unatia hamasa katika shughuli za ujenzi wa taifa.Wakiwa Katavi msafara huo ulizindua ujenzi wa nyumba za walimu na nyumba za shirika la nyumba la Taifa. ..SWALI: Pesa za madawati hamna za Mwenge mnapatia wapi?
 
Najuta sana kipindi kile nachangia mwenge shuleni

Lau ingekuwa sasa ningefukuzwa shule.. wanatumia gharama kubwa kuzindua mradi mdogo.
 
Back
Top Bottom