Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,269
- 4,570
Hapa ndipo tunapotofautiana. Kazi nyingine tunaambiwa tutangulize utaifa mbele, wakati wengine wanatakiwa watangulize maslahi mbele. Juzi wabunge wamapewa 1Milioni kila mmoja kwa ajili ya kuhamasisha sensa, wakati ambapo wabunge haohao hadi sasa tangu wamalize kikao cha bunge, wamebana huko mijini, na huku majimboni hawajafika. Hiyo milioni waliyopewa haijafanyiwa kazi, na wala haitarejeshwa. wakati huohuo, karani analazimishwa aende kituoni bila kulipwa, eti atangulize utaifa, akale nini huko????, akalale wapi????, akafanye nini????. Hivi utaifa ni kutesana????
Tunaambiwa eti Ualimu ni kazi ya wito, Udaktari ni kazi ya wito, je! ubunge si kazi ya wito??????? Tuache siasa, tufanye kazi.
Should a person be paid after delivery OR after promising to deliver? ni mtizamo wangu; Watanzania tumezoeshwa vibaya mishahara tunaiona kama ni haki toka Juu Mbinguni kazi yeyote lazima malipo yawepo nje ya mshahara.