Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,135
- 219,239
Ameitwa na RCO, siyo RCKatibu wa Bavicha Iringa Vitus Nkuna leo ameitwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ili ahojiwe , tambua kwamba RC wa Iringa anaitwa Queen Sendiga .
Bila shaka Mahojiano hayo yanahusiana na kauli yake ya kizalendo kutokana na kuzidiwa kwa Mkoa wa Shinyanga na wagonjwa wa Corona huku kukiwa na uhaba wa vitendea kazi pamoja na mitungi ya gesi ya kusaidia kupumua.
--
BREAKING NEWS!
Vitus Nkuna katibu wa BAVICHA Iringa Mjini anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa na atasafirishwa kuelekea Mkoani Shinyanga muda wowote kuanzia kesho .
Nkuna anashikiliwa kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr. Sengati kufuatia chapisho lake katika mtandao wa ' Twitter ' akiituhumu Hosipitali ya Mkoa wa Shinyanga kuelemewa na wagonjwa wa COVID19 wanaoendelea kupoteza maisha kwa ukosefu wa mitungi ya Oxygen.
Kwa sasa Bw. Nkuna yuko mahabusu ya polisi katika kituo cha Mjini kati Iringa.
By Leonce Marto , EmmanuelChengula & Chriss Mbunda.
13/07/2021
16:30pm.
View attachment 1851593
rudia kusoma uone updatesHapo tu unaona diplomasia ya Queen.
Ameshapunguza taharuki.
Ana nguvu zote zakumuonya kuvuka kimamlaka.
Bavicha muwe na mipaka
Katibu wa Bavicha Iringa Vitus Nkuna leo ameitwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ili ahojiwe , tambua kwamba RC wa Iringa anaitwa Queen Sendiga .
Bila shaka Mahojiano hayo yanahusiana na kauli yake ya kizalendo kutokana na kuzidiwa kwa Mkoa wa Shinyanga na wagonjwa wa Corona huku kukiwa na uhaba wa vitendea kazi pamoja na mitungi ya gesi ya kusaidia kupumua.
--
Vitus Nkuna katibu wa BAVICHA Iringa Mjini anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa na atasafirishwa kuelekea Mkoani Shinyanga muda wowote kuanzia kesho .
Nkuna anashikiliwa kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr. Sengati kufuatia chapisho lake katika mtandao wa ' Twitter ' akiituhumu Hosipitali ya Mkoa wa Shinyanga kuelemewa na wagonjwa wa COVID19 wanaoendelea kupoteza maisha kwa ukosefu wa mitungi ya Oxygen.
Kwa sasa Bw. Nkuna yuko mahabusu ya polisi katika kituo cha Mjini kati Iringa.
By Leonce Marto , EmmanuelChengula & Chriss Mbunda.
13/07/2021
16:30pm.
View attachment 1851593
Bado waficha taarifa wapo.. Ndio maana tunasema Mh. Rais alifanya makosa makubwa kurithi wapiga filimbi wa mwenda zake.Mkanganyiko,aende akaonyeshe hao wagonjwa.
Upande wa pili hakuna namna yakumuonya kuepusha garama zakumlisha na night za askari wanaompeleka.
ACHA AKAFINYWE PU.........MB KWANZA ILI AKITOKA KILA MTU ATAMUAMKIA HATA MTOTO MDOGO BAVICHA MUACHE KIHEREHERE DAADECKatibu wa Bavicha Iringa Vitus Nkuna leo ameitwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ili ahojiwe , tambua kwamba RC wa Iringa anaitwa Queen Sendiga .
Bila shaka Mahojiano hayo yanahusiana na kauli yake ya kizalendo kutokana na kuzidiwa kwa Mkoa wa Shinyanga na wagonjwa wa Corona huku kukiwa na uhaba wa vitendea kazi pamoja na mitungi ya gesi ya kusaidia kupumua.
--
Vitus Nkuna katibu wa BAVICHA Iringa Mjini anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa na atasafirishwa kuelekea Mkoani Shinyanga muda wowote kuanzia kesho .
Nkuna anashikiliwa kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr. Sengati kufuatia chapisho lake katika mtandao wa ' Twitter ' akiituhumu Hosipitali ya Mkoa wa Shinyanga kuelemewa na wagonjwa wa COVID19 wanaoendelea kupoteza maisha kwa ukosefu wa mitungi ya Oxygen.
Kwa sasa Bw. Nkuna yuko mahabusu ya polisi katika kituo cha Mjini kati Iringa.
By Leonce Marto , EmmanuelChengula & Chriss Mbunda.
13/07/2021
16:30pm.
View attachment 1851593
WANALAZIMISHA WATU WAGANYE ILI JEURI ZIPUNGUE WACHA AKABANWE KIDOGOMbona jambo dogo wanataka kulikuza? Hizo gharama za kumpeleka Shinyanga zitalipwa na nani? Na mamlaka ya Mkuu wa Mkoa ya kuamrisha kukamatwa kwa mtu ambae haishi mkoani mwake yapo? Hivi kwa kufanya hivi hawaoni wanamuharibia Mheshimiwa Rais ambae ameonyesha hapendi hizi kamatakamata?
Amandla...
Hata wangemchapa viboko tu aache uongo wakuwa msemaji nje ya mamlaka.Mbona jambo dogo wanataka kulikuza? Hizo gharama za kumpeleka Shinyanga zitalipwa na nani? Na mamlaka ya Mkuu wa Mkoa ya kuamrisha kukamatwa kwa mtu ambae haishi mkoani mwake yapo? Hivi kwa kufanya hivi hawaoni wanamuharibia Mheshimiwa Rais ambae ameonyesha hapendi hizi kamatakamata?
Amandla...
Aliitwa hivyo ila akageuziwa kibaoAmeitwa na RCO, siyo RC
Wagonjwa wa Corona mkoani Shinyanga wapo au hawapo?ACHA AKAFINYWE PU.........MB KWANZA ILI AKITOKA KILA MTU ATAMUAMKIA HATA MTOTO MDOGO BAVICHA MUACHE KIHEREHERE DAADEC
Katibu wa Bavicha Iringa Vitus Nkuna leo ameitwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ili ahojiwe , tambua kwamba RC wa Iringa anaitwa Queen Sendiga .
Bila shaka Mahojiano hayo yanahusiana na kauli yake ya kizalendo kutokana na kuzidiwa kwa Mkoa wa Shinyanga na wagonjwa wa Corona huku kukiwa na uhaba wa vitendea kazi pamoja na mitungi ya gesi ya kusaidia kupumua.
--
Vitus Nkuna katibu wa BAVICHA Iringa Mjini anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa na atasafirishwa kuelekea Mkoani Shinyanga muda wowote kuanzia kesho .
Nkuna anashikiliwa kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr. Sengati kufuatia chapisho lake katika mtandao wa ' Twitter ' akiituhumu Hosipitali ya Mkoa wa Shinyanga kuelemewa na wagonjwa wa COVID19 wanaoendelea kupoteza maisha kwa ukosefu wa mitungi ya Oxygen.
Kwa sasa Bw. Nkuna yuko mahabusu ya polisi katika kituo cha Mjini kati Iringa.
By Leonce Marto , EmmanuelChengula & Chriss Mbunda.
13/07/2021
16:30pm.
View attachment 1851593
Polisi mkoani Iringa hawana kesi naye, watakachofanya ni kumsafirisha mpaka Shinyanga, huko ndiyo watamshughulikia kwa maelekezo ya ya RC waoNilisema hapa kuwa dada yake Kayafa ana laana za Kayafa ambazo zitamfanya awe lethal kuliko Kayafa watu wakadai kuwa yule ni Mama.The worst is yet to come!
Hata wangemchapa viboko tu aache uongo wakuwa msemaji nje ya mamlaka.
Gharama zisizo na maana mitungi
RC anavyombo vya kiuchunguzi kisheria.akidanganywa juu yake.Viboko vya nini wakati Mkuu wa Mkoa amekiri kuwa kuna wagonjwa wamelazwa? Na ana uhakika gani kuwa watu wake hawampi taarifa za uongo? Kuna aibu gani kusema kuwa unahitaji msaada wa mitungi ya oksijeni?
Amandla...
Nkuna ana uhuru wa kutoa mawazo yake. Hamna mpaka kwenye hilo. Mipaka ipo kwenye matumizi ya vyombo vya uchunguzi na mamlaka ya RC.RC anavyombo vya kiuchunguzi kisheria.akidanganywa juu yake.
Huyo Nkuna hana mamlaka hayo.
Mipaka mipaka mipaka