Kiongozi wa ACT badala ya kukikuza chama anapamba na wapinzani

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,935
31,180
Brother akajua mkutano utakuwa Jumamosi si ndiyo akanunua Mechi yote uwanja mzima akalipia KiingilioBrother akajua mkutano Jumatatu si ndiyo akarudisha pesa ya Chopper yote na fidia Juu watugomee kufanya kazi.

Sasa Mbowe kachukua Chopper kutoka UfaransaNasikia BOTHER KAZIMIA

1684300436729.png
 
Nachekaga Sana mtu anapomponda zito na hapo hapo anamsifia mbowe yaaan huo ni upunguani wa kiwango Cha lami
 
Kikwete anawachora wasiojua lolote, yeye na Membe ndio walioianzisha na kufadhili ACT. Wao ndio waliipa ACT fedha za kusimamisha wagombea ngazi zote nchini uchaguzi wa 2015, anashangaa nini mtu kuhamia kwenye nyumba ndogo ukikosana na familia yako?
Hili ni kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom