October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,124
- 1,983
Bado haijulikani kitajadiliwa kitu gani lakini najuzwa ni hayahaya ya kuzamisha majini manuwari ya mtandao. Najuzwa kabla ya 912 kuna tukio la ajabu la kimafia linasukwa sijui kwa kweli. Jambo moja Redcross wanajiamini nalo ni kutotambulika. Hawajulikani ni kina nani. Wengi wao hawafuatiliwi mana wanapoteza maboya dola. Nye Nye Nye! Mnyetishaji anijuza kuwa wataendelea kukamata wasiohusika lakini kikosi kazi cha redcross kitabaki salama. Mnyetishaji anijuza sapoti ya silaha kuingia Tz ni moja ya agenda huku baadhi ya Makomando maalum kuingia nchi kwaajili ya kuzidisha kidonda siku D9. Chikwete anaadui wa zamani wakati akiwa Rais ambaye amemsahau ambaye naye anaomba usajili Huko redcross. Bado hajakubaliwa. Redcross wamebakiza solo tatu kufunga mwaka huu lakini target Yao najuzwa ni mwakani. Na bado.