mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,703
- 37,316
Wajibu wake sio kupata A+, ni kufaulu tu.Kwann apewe milioji moja, wakati katimiza wajibu wake??
Kulikuwa na shule za vipaji, unadhani serikali ilikosea sana kuwa nazo! Maana watu wamefaulu kutimiza wajibu.
Sent from my INE-LX1r using JamiiForums mobile app