Kiongozi, fanya yafuatayo kuinua ufaulu wa matokeo ya mitihani kwenye mkoa au wilaya yako

Kulikuwa na shule za vipaji, unadhani serikali ilikosea sana kuwa nazo!
Sasa wakipewa hiyo milioni moja ndiyo kipaji kinaongezeka?? Kipaji huwa hakitegemei boost, huwa kinachanua na kujilinda chenuewe.

Halafu kwa hizi shule za vipaji hapa Bongo hazina tija kabisa. Waliosoma shule za vipaji mitaani wanaongoza kwa upevi, ngono na "kupiga mizinga". Kwa kifupi Ni kwamba hawana tofauti na wengine na zaidi ya yote ni hasara tupu.
 
Dah ushauri mzuri Sana huu

Kuna shule yetu ya msingi hapa kigamboni ambako ndio ninaishi Kama makaz eneo la KIMBIJI n Kama kijijini vile na halmashauri ya wilaya kigambon n Kama imeisusa shule hii

Shule kwa miaka 6 mfulilizo matoke ya darasa la nne kiwilaya imekua ya 2 au 4 toka mwisho hivyo hvyo na darasa la Saba kiwilaya shule inashika nafas hyo kiwilaya katka mtihan wa taifa hakuna anaeshtuka walimu wengne Wana Zaid ya miaka 12 katka kituo kimoja cha kazi

Tunataman kufanyke mabadiliko katka shule yetu tumepeleka malalamiko ofisi ya elimu wilaya hakuna anaetusikiliza



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom