Kiongozi chadema: Ziara ya dr.slaa kigoma,mwanza na tabora, ni woga wa mbowe na slaa.

Mi nishasahau kama kuna siku 14 maana muda umepita ndio ujue Chadema na hyo Lissu hawana msimamo

Na ndio maana nikasema ziara yao ktk mikoa hiyo ni kupima kina cha maji tu, na inavyoonekana ni kwamba kina ni kirefu, hakuna wa kumfukuza zitto.
 
Back
Top Bottom