Kiongozi chadema: Ziara ya dr.slaa kigoma,mwanza na tabora, ni woga wa mbowe na slaa.

Huwa siamini kabisa kama mtu mwenye akilitimamu anaweza akauliza siku 14 aizopewa ZZK zimeisha na haoni hatua zikichukuliwa. Itakuwa niujuha kwa chama kikubwa na kinacho kabiliana na changamoto nyingi kama CDM kutulia bila kufanya kazi nyingine kwa ajili ya kushughulika na ZZK. acheni matamanio yasio fikia lengo! ZZK na wenzake watashughulikiwa kwa mjibu wa katiba ya chama ila sio mapenzi na matamanio yenu.
 
Upepo wa kisiasa chadema si shwari baada ya maazimio yaliyofikiwa mwezi uliopita
na kamati kuu ya chama hicho ya kuamua kuwavua nafasi zote za uongozi zitto kabwe, na wenzake samson mwigamba pamoja na dr.kitila mkumbo kwa tuhuma za kukihujumu chama kwa kuandaa waraka wa siri unaohimiza kufanyika kwa mageuzi ktk uongozi wa juu chadema na kupewa siku 14 kujieleza ni kwani wazivuliwe kabisa uanachama, baada ya maamuzi hayo ndipo katibu mkuu wa chadema dr.wilbroad slaa kuanza kufanya ziara mikoa ya kigoma,mwanza,shinyanga na tabora kwa kile kinachojulikana kama ziara ya kuimarisha chama, lakini kinachonekana ni mbinu ya dr.slaa na mbowe kupima upepo wa mwanasiasa huyo kijana kama nguvu yake ktk kanda hiyo yanaweza kuathiri maamuzi ya kamati kuu kwani lengo la slaa na mbowe ni kumtimua kabisa zitto, lakini kutokana na matokeo ya ziara hyo inaonekana wazi kuwa hakuna wa kuweza kumfukuza zitto chadema, hii ni kwa mujibu wa taarifa niliyoipata kutoka kwa mmoja wa viongozi waandamizi kutoka makao makuu ya chadema DSM.

Mawazo ya kusadikika haya; haya tuambie ratiba ya Chadema
 
Eti anajiita Wisest man!..
Dah,kutumiwa kubaya sana.

Sio najiita Wisest man ila ni kwamba mimi ni Wisest man, harafu unaweza kumtaja huyo aliyenituma? acha upumbavu, mimi sio mpenzi wa party politics hivyo sifungamani na chama chochote, au unafikiri mtu akiikosoa cdm basi anakuwa ccm au akiikosoa ccm basi ni cdm!!! acha hisia za kishabiki, dr. slaa amekimbilia kigoma kama kutafuta utetezi kutokana na maazimio ya kamati kuu.
 
Last edited by a moderator:
Hii habari yote ni sentensi moja!! Hivi shule za siku hizi hazifundishi uandishi wa insha?!!!
 
Vijana wa ufipa, hebu kanusheni kwa ushahidi kuwa nyie hamtumiwi na mabwana zenu
 
Upepo wa kisiasa chadema si shwari baada ya maazimio yaliyofikiwa mwezi uliopita
na kamati kuu ya chama hicho ya kuamua kuwavua nafasi zote za uongozi zitto kabwe, na wenzake samson mwigamba pamoja na dr.kitila mkumbo kwa tuhuma za kukihujumu chama kwa kuandaa waraka wa siri unaohimiza kufanyika kwa mageuzi ktk uongozi wa juu chadema na kupewa siku 14 kujieleza ni kwani wazivuliwe kabisa uanachama, baada ya maamuzi hayo ndipo katibu mkuu wa chadema dr.wilbroad slaa kuanza kufanya ziara mikoa ya kigoma,mwanza,shinyanga na tabora kwa kile kinachojulikana kama ziara ya kuimarisha chama, lakini kinachonekana ni mbinu ya dr.slaa na mbowe kupima upepo wa mwanasiasa huyo kijana kama nguvu yake ktk kanda hiyo yanaweza kuathiri maamuzi ya kamati kuu kwani lengo la slaa na mbowe ni kumtimua kabisa zitto, lakini kutokana na matokeo ya ziara hyo inaonekana wazi kuwa hakuna wa kuweza kumfukuza zitto chadema, hii ni kwa mujibu wa taarifa niliyoipata kutoka kwa mmoja wa viongozi waandamizi kutoka makao makuu ya chadema DSM.

Samahani mkuu hii ni mbadala ya yale tuliyokuwa tukiaminishwa ni MATAMKO ya viongozi wa cdm kwani nimeyamisi?fungu la matamko limeisha nini kwani siyasikiii?.!!....
 
Wisest Man,
Jina unalotumia hailingani na uliyoyaandika. I) Kama ulikuwa hujui, ulikuwa na jukumu la kuuliza up ewe ufafanuzi, ten a bila gharama. Ziara za Dr Slaa zimefanyika takriban nchi nzima, toka mwaka 2011. Acha upotoshwaji, hautakufikisha popote. 2) Ziara ya Kigoma ilipangwa kufanyika mwezi Julai, lakini nilipata safari ya Ujerumani. Ikapangwa mwezi September, nikapata safari ya Marekani. Ikatekelezwa mwezi December Kama sehemu ya ratiba ya Ziara za kawaida za Katibu Mkuu. 3) ziara ya Mwenyekiti Mbowe inatokana na ratiba ya Chuo Kikuu, ambako si Mara ya kwanza Chadema kualikwa Vyuo vikuu.

Mengine yote ni propaganda zisizo na maana.

QUOTE=Wisest man;8121354]Upepo wa kisiasa chadema si shwari baada ya maazimio yaliyofikiwa mwezi uliopita
na kamati kuu ya chama hicho ya kuamua kuwavua nafasi zote za uongozi zitto kabwe, na wenzake samson mwigamba pamoja na dr.kitila mkumbo kwa tuhuma za kukihujumu chama kwa kuandaa waraka wa siri unaohimiza kufanyika kwa mageuzi ktk uongozi wa juu chadema na kupewa siku 14 kujieleza ni kwani wazivuliwe kabisa uanachama, baada ya maamuzi hayo ndipo katibu mkuu wa chadema dr.wilbroad slaa kuanza kufanya ziara mikoa ya kigoma,mwanza,shinyanga na tabora kwa kile kinachojulikana kama ziara ya kuimarisha chama, lakini kinachonekana ni mbinu ya dr.slaa na mbowe kupima upepo wa mwanasiasa huyo kijana kama nguvu yake ktk kanda hiyo yanaweza kuathiri maamuzi ya kamati kuu kwani lengo la slaa na mbowe ni kumtimua kabisa zitto, lakini kutokana na matokeo ya ziara hyo inaonekana wazi kuwa hakuna wa kuweza kumfukuza zitto chadema, hii ni kwa mujibu wa taarifa niliyoipata kutoka kwa mmoja wa viongozi waandamizi kutoka makao makuu ya chadema DSM.[/QUOTE]
 
Huna jipya kachukue buk7 yako upate mkate wako! hivi unaijua CDM au unaiskia? CDM tulishawasahau siku nyingi hao masnich!

Mkiishiwa hoja ndio mnaanza kutumia hnja ya buku 7, mbona hamsemi wa ufipa wanapewa buku ngapi? Harafu nani kakwambia kuwa mimi ni wa buku 7? au umekunywa gongo anayoitetea katibu wako?
 
Vyeo vya chama alivyokuwa ana vitumia kwenda nje sasa basi, ataanza kuona madhara yake. Zito mbona senge tu, ana miaka 38 lkn bado halijaoa huoni kwamba ana tatizo hata kwenye maswala ya ndoa? wote tunakumbuka alitembea na Amina Chifupa kwani mambo yote yaliwekwa wazi na vyombo vya habari, na Amina sikumbuki alifariki na ugonjwa gani tena.......Tafakari!
 
Rest in peace chadema.

Walikuja watu wakajiapiza hapa jf kwamba Dr Slaa hatwekwenda Kigoma,alipofika kigoma wakabadili kauli kwamba Dr Slaa hatokanyaga kigoma mjini Dr Slaa kakanyaga tena kwa shagwe kubwa wakaja na kauli mbiu yao mpyaDr kafika ila hakupata wafuasi wengi kwa kifupi wamekuwa watu wakubadili kauli mara kwa mara swali je nawe ni miongoni mwa hao?
 
Mkiishiwa hoja ndio mnaanza kutumia hnja ya buku 7, mbona hamsemi wa ufipa wanapewa buku ngapi? Harafu nani kakwambia kuwa mimi ni wa buku 7? au umekunywa gongo anayoitetea katibu wako?

Ndege wafananao na wapendanao huruka pamoja hivyo ni rahisi sana kujua kundi lako ni lipi kati ya kundi la wazalendo na kundi la MAFISADI
 
Back
Top Bottom