Wengi tu hata wakiwa wanaangalia TV akija yeye tu wanahama channel. Yaani unaona mtu anakasirika kabisa wapi remote control ili aikimbie channel 🙂🙂. Wabongo banaa!
“Sina tabia ya kusifia, lakini DC wa Korogwe nampongeza na msije mkashangaa mkiona amepanda cheo... ingawa hapa Korogwe mtachukia kwa sababu namuondoa mchapakazi,” alisema Magufuli.