VIKWAZO
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 1,899
- 580
[FONT=Verdana, sans-serif]Nyerere alipokuwa kazini ni kazini yaani anapiga kazi kama mzalendo na mwenye uchu wa kuleta mabadiliko , Kikwete yeye ni mtanashati zaidi siwezi kumuita sharobaro maana yeye ni raisi lakini [/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif] hana mwongozo kwa mkulima,[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif] unamfundisha nini mkulima kama kiongozi unaenda kupanda mti mpaka uwekewe shuka chini?[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif]kwa kini hakuvaa mavazi ya kazi kama alijua anataka kutoa mfano wa kupamba miti?[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif] mambo kama haya ni matokeo ya starehe wanazofanya viongozi wetu na kusahau kwamba nchi ina dhiki[/FONT]
[FONT=Verdana, sans-serif] hii ni sawa na kutuambia wananchi nitachafuka man[/FONT]