kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,013
- 11,952
Ile chato airport ina tija gani kwani,inaingiza bei gani?Nimegundua hamtumii akiri zenu ila kuna kitu nyuma yenu kinawasukuma kwa nguvu, kila siku mnasema humu zimenunuliwa ndege hapa eti pesa ingepelekwa afya mara zipelekwe kwenye alimu, na bado hizo ndege zinazalisha pesa ikapelekwe kwenye hiyo afya lakini bado mnapinga, sasa drone ambazo zitakaa na huenda isitumike kwa mwaka mzima maana moto isipotokea haina kazi, hiyo pesa yote iende hapo, je kwe afya utapeleka nni au matatizo ya elimu pia yameisha? Kumbuka jana ukisema nni na leo unasema nni. Msituvuruge.