Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,592
- 11,831
Habari wadangu.
Mwenzenu kuna hiki kilichonikuta kwangu Mimi nakiita kioja tena si kidogo. Labda mnisaidie elimu kidogo hapa.
Hivi kuna uwezekano wa mwanamke msagaji kubadilika na kuacha kabisa tabia hiyo.?
Huyu dada namfahamu vizuri sana kuwa ni msagaji na tabia hii ameinza siku nyingi yapata miaka 7 sasa.
Kwa muda mrefu kidogo hatukuonana sasa imekuwa hivi karibuni Mara kwa Mara alikuwa akiomba tuonane, nikaamua kukubali nijue anataka nini kwasababu wanasemaga usidharau mtu hata kama akiwaje.
Alichonambia sikutegemea kabisa, anadai ananipenda sana anataka awe na Mimi, anadai ameacha tabia ya usagaji na anataka kuishi maisha mapya na Mimi.
Kiukweli nilikasirika sana, nikaondoka bila kumuaga, lakini bado haachi kusumbua hadi leo akidai nisimhuku kwa tabia za zamani.
Nimshauri nini huyu dada, na hivi kweli kuna uwezekano wa kuacha tabia ile kweli?
Kuwa nae najua siwezi kabisaa kwanza akinambiaga huu upuuzi huwa ananikera sana,
Nitumie njia gani nzuri ya kumsaidia huyu kiumbe.
Hebu nambieni hapa wakuu.