Kioja ; Msagaji adai ananipenda.

Dam55

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
4,587
2,000
Habari wadangu.
Mwenzenu kuna hiki kilichonikuta kwangu Mimi nakiita kioja tena si kidogo. Labda mnisaidie elimu kidogo hapa.

Hivi kuna uwezekano wa mwanamke msagaji kubadilika na kuacha kabisa tabia hiyo.?

Huyu dada namfahamu vizuri sana kuwa ni msagaji na tabia hii ameinza siku nyingi yapata miaka 7 sasa.

Kwa muda mrefu kidogo hatukuonana sasa imekuwa hivi karibuni Mara kwa Mara alikuwa akiomba tuonane, nikaamua kukubali nijue anataka nini kwasababu wanasemaga usidharau mtu hata kama akiwaje.

Alichonambia sikutegemea kabisa, anadai ananipenda sana anataka awe na Mimi, anadai ameacha tabia ya usagaji na anataka kuishi maisha mapya na Mimi.

Kiukweli nilikasirika sana, nikaondoka bila kumuaga, lakini bado haachi kusumbua hadi leo akidai nisimhuku kwa tabia za zamani.

Nimshauri nini huyu dada, na hivi kweli kuna uwezekano wa kuacha tabia ile kweli?
Kuwa nae najua siwezi kabisaa kwanza akinambiaga huu upuuzi huwa ananikera sana,
Nitumie njia gani nzuri ya kumsaidia huyu kiumbe.
Hebu nambieni hapa wakuu.
 

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Oct 19, 2014
5,214
2,000
Mkune vizuri mkuu anaweza acha hiyo tabia yake,after all manzi ni manzi tuu wala,dudu ndio maala pake papuchi ya mwenzie sio haki yake
 

Einstein6

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
3,517
2,000
Ok,kama mimi mkuu mademu kila kukicha wanajipitisha kwangu kinoma sasa huwa nahisi sijui wananichukulia kama demu mwenzao au vp,Naomba msaada hapa
 

flulanga

JF-Expert Member
Jul 1, 2016
4,473
2,000
Me ishatongozwa nashoga kabisa aisee nilishangaa sana ila nilimchana makavu akanielewa kuwa siwezi kuwa na mwanaume mwenzangu, sasa wewe hapo sijaona chaajabu ninini hasa maana kwanza nijinsia tofauti nawewe nachapili alishakwambia kuwa tabia yausagaji kaishaiacha nakama umtaki mwambie2 au unamwogopa? Au nawewe ni mwanamke mwenzie kusema ushangae kutongozwa nawajinsia nyenzako kusema atakusaga nawewe?
 

Hunyu

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
4,785
2,000
Usibadili msimamo wako. Huyo hata kama anapretend kuacha, ukishakaa nae kwenye mahusiano atarudia tabia zake na atakutesa sana.
 

bigmind

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
12,310
2,000
Yupo mmoja yuko humu maarufu mno, but mshenzi sana naye mgongamgongwaji na madem wenzake..!

Nilijaribu kushauri ila ndiyo hivyo kakubuhuu sana mpuuzi huyu.n
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom