Kinywaji hiki kinaitwaje?

Tusaidiane jina la hicho kinywaji
uzuri wote huo unaweza kuta akimaliza kunywa anaikalia hiyo chupa. siku zote nimekuwa nikijiuliza hivi kwanini wanawake machangudoa wote ni wazuri na wanauzika? wale wasio wazuri ndio wanaolewa. ukienda kwenye porny wanawake wa porny wote ni wazuriii unajiuliza kumbe mwanamke kuwa mzuri ni laana manake lazima atakuwa malaya tu au atakuwa na mambo ya ajabu.

kwenye mamiss tz huko, inasemekana asilimia 50 ni wasagaji au walishawahi kujaribu usagaji, mambo ya urembourembo na warembo ni usagaji na akiwa mwanaume lazima ni shoga. wanamitindo wote nafikiri tunawaone hata conduct zao ni za kishogashoga tu....sitaki kuwataja majina kwa sheria hii ya mtandao...
 
Wakuu inawezekana kweli kuna wanaume wanafanya mapenzi na wanawake wazuri hivi au hizi shopfoto??
 
Unaweza kuta mwanaume anamzingua mtt kama huyu.
 
nmejitahidi nione icho kinywaji lakini nmeshindwa kabisa..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…