Kinywaji cha Mo Extra: Ni mimi tu au na wengine...?

aisee nmekuelewa vizuri sana nitafanya hivyo
 
Nina miaka 7 sinywi energy drink yoyote na hii nimeamua toka Redbul ilipotaka kunichukua uhai wangu.

Haya ma -energy drink si mazuri hata kidogo.
Ilikuaje mwenzetu?
 
Thanx kaka
 
Mtoa mada utakua na Dalili za Ugonjwa wa moyo....

Pressure ya kupanda na Caffeine ni tofauti.....angalau Caffeine inawafaa watu wenye pressure ya kushuka hata kama hawajijui....

Mm nakunywa Asubuhi moja, usiku moja hasa nikiwa na game, na hakuna Shida yoyote...
 
Pole sana, mm nljskia vbaya sanaa.. Mapigo ya moyo juu
Nilikunywa ghafla nikaanza kujisikia vibaya mnooo ....naona giza.... mapigo ya moyo yanaenda kasi si kawaida....kwenda hosp nikaambiwa nisirudie kunywa hicho kinywaji maana huwa na tatizo la presha ya kupanda kwa hiyo ni hatari sana kwangu.
.
 
Daaa mbna hatar hij
Kaka acha hio kitu Mimi nimeshagundua ni sumu hatari sijui TBS wameipitishaje.... Mimi imetaka kunia kama ilivyokufanya we we Mara mbili nikagundua chanzo no hio. Mamlaka husika itusaidie
 
Duuh mi zaman nlkua nakunywa bottlembili za azam energy wakat wa mlo wa mchana na mlo wa usiku..
 
Nina miaka 7 sinywi energy drink yoyote na hii nimeamua toka Redbul ilipotaka kunichukua uhai wangu.

Haya ma -energy drink si mazuri hata kidogo.
Watu wengi watakufa baadae kwa heart attack...nyie endeleeni kutengeneza maradhi miilini menu...
 
Msisitizo hapo ni kuavoid vinywaji vyenye caffeine,kikawaida sio vizuri kwa afya ya watumiaji,hata kama huna tatizo la kiafya lakini jua kuwa mwisho wa siku vitakuletea shida...
Sasa jamani...majani ya chai hayana caffein kweli...vipi kuhusu kahawa je?
 
Halafu nilikua nakunywa kwa masifa yaani yale ya kidada, nakunywa hata 2 siku hiyo yakanikomesha ha ha ha ba
kwenye birthday yako ndani ya box nakuekea mo energy 3,red bull 4,mo fire 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…