Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,451
Habari waungwana, jana nilinunua kinywaji cha MO EXTRA nikanywa.. Baada ya muda fulan nikaanza kujisikia tofauti...
Maumivu kiasi upande wa moyo kisha yakapotea...
Maumivu ya abnomial hasa upande wa kulia kupanda juu hado katikati ya kiuno na ubavu wa mwisho.... Usawa wa figo
Uvivu katika kufikiri ilhali najisikia uchangamfu kiasi....
Kuna aliyewahi kujisikia hali hii baada ya kutumia hiki kinywaji?
Wajuvi wa afya mna maoni gani juu ya kilichonisibu?..